Bila upinzani imara rais angekuwa Membe

Bila upinzani imara rais angekuwa Membe

Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.

Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.

Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.

Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.

Fikiria kwanza kabla hujapost thread, Lowassa akienda CDM tayari mchakato wa kumpata mgombea CCM tayari ulikuwa umemalizika na yeye alishiriki hadi hatua ya mwisho ya mkutano mkuu na alipiga kura ambayo JPM aliibuka mshindi. Sasa hzo porojo za kuwa kwenda ukawa aliharibu mipango haina mashiko. Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu kwani huwa tunaweka akiba ya maneno
 
.
Waliokuwa wanaimba ndani ya mkutano wa nec ya ccm "tuna imani na Lowasa..." ndio waliokamata membe chaguo la kikwete na kutupa kuleeee
 
si kuishukuru ukawa Bali kuishukuru Ccm Kwa kumkata lowasa, then kumchagua Magufuli! Ccm ilitangulia kumtangaza mgombea kabla ya cdm na kama shukrani cdm waipe Ccm Kwa kukatwa Kwa Edo, bila HVO zile % asinge pata
umesema vyema,na mgombea wao alituahidi aliyekuwa anakula mlo mmoja atakula mitatu,mwenye bodaboda moja ataongezewa yapili,mwenye gari moja ataongezewa la pili,nyumba moja ataongezewa ya pili,haha haa ha,tulikuwa tunaingia chaka,wakuwashukuru ni CCM kwa kumkata na tuliojielewa kwamba sisi sio nyumbu.
 
Upinzani ungekuwa goi goi, na watu wasingekuwa wanataka mabadiliko kwa usongo basi Pombe hakuwa na nafsi kabisa. Hivyo wakaangalia ni nani anayeweza kuwaokoa kwenye jahazi ndio akapatikana Pombe
kwahiyo CCM wangemchagua EL wasingeshinda uchaguzi?
 
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.

Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.

Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.

Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.

Hapa umedanganya kwani lowasa ma membe wamekatwa kwa wakati moja unatuaminisha vipi kwamba magufuri kachaguliwa baada ya lowasa kuhamia Cdm?
Kajipange upya.
 
naona wengne humu hawelew kwann watu wanasema lowassa kamsaidia magufuli kupata urais ni hiv

timu zilikuwa mbili nazo ni membe na lowassa sasa tano bora alivyoingia membe timu lowassa walikuwa ni weng sana wakapiga kula kwa lengo la kumuangusha membe na juhud zikatimia ndio maana watu wanasema lowassa
kasaidia
Soma post ya mleta mada kabla ya kujibu,
 
Tumalize hivi mtoa mada alikosea ku cot ni kwamba baada ya lowasa kukatwa kwenye mchujo wale wafuasi wa lowasa walikuwa wengi sana so kwa hasira ili membe asipite wakampigania magufuli mpaka amepita
jibu liko hapa.........hiyo mnajiliwadha tu eti team Lowasa kumchagua Magufuli. Team Lowasa ilitakiwa ichague mtu dhaifu ili waje wamshinde kwenye kura kirahisi, if any . Ni ujinga kuchagua mtu mwenye reputation kama Magufuli atleast kwa TZ harafu uje ushindane naye na kisha ugomee matokeo.
Hii ya kusema team Lowasa ilimchagua Magufuli ni ujinga.
 
Hawakujua kama LOWASA atahama chama
Ndio maana tunaojielewa tuliona kwamba Lowasa hakuwa na dhamira ya dhati kutoka moyoni kutaka urais kupitia ukawa wakati moyo wake wote na maisha yake yote yapo CCM
 
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.

Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.

Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.

Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.

Sio kweli bwana, Magufuli alipoteuliwa yaani baada ya kutemwa Membe na baadae Lowasa akaenda UKAWA
 
mengi yanazungumzwa lakn magufuli hakuja kwa bahati mbaya kua mgombea na hatimaye kua rais ..,,,,,,,,,,,,,,,, bahati nzuri kabla haijavaa viatu bahati mbaya ashafika barabarani pekupeku
 
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.

Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.

Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.

Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.

'kuna watu waadilifu lakini hawana nia ya kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia ccm,tutawaomba wachukue fom'-jakaya kikwete mwezi machi 2015,hayo ya kumtaka membe yenu tu
 
.
Waliokuwa wanaimba ndani ya mkutano wa nec ya ccm "tuna imani na Lowasa..." ndio waliokamata membe chaguo la kikwete na kutupa kuleeee

Hao walioimba na hii thread Kuna uhusiano gani?, Topic iliyotumwa hapa haziendani na uhalisia. Kila mtu anajua CCM ndio Chama pekee kinachopata viongozi wake kwa njia ya kura, JPM alipatikana ktk kura, Wabunge wa Viti maalum wa CCM pia hupigiwa kura. Kwani niulize Lowassa alishindanishwa na nani CDM?, au Wabunge wa Viti maalum CDM waligombea lini? Zaidi ya kuona mahawara na waliobaki asilimia kubwa ukaskazini na u..... O
 
Wapenzi wa lowassa ndani ya NEC waliamua kuwa chaguo la kikwete (Membe) hawezi penya kwa namna yoyote ile,mpira ukamuangukia JPM!

kwenye siasa hakuna jambo linalotokea kwa bahat mbaya,kila kitu hupangwa,membe alikua 'decoy' tu..watu wakaingia kwenye mtego wa dola
 
Bila upinzani imara rais angekuwa Lowassa. Sababu ni nyingi sana hazihitaji kueleza.

Moja wapo ni kuwa Lowassa alikuwa na nguvu kuliko wote, ila wapinzani walipambana nayesana kwa muda mrefu hadi CCM wakatishika. Membe ilikuja tu kama JK kupitisha mambo yake kwa kuona Lowassa anaweza kupigwa mizengwe kirahisi.
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.

Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.

Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.

Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.
 
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.

Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.

Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.

Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.
Hiyo na kuunga mkono, kweli Mwenyezi Mungu anna njia nyingi za kumuokoa munyonge, na mojawapo ilikuwa ya kuwagombanisha walikuwa wakifanya watoto waliokulia CCM thevso called first class Tanzanian citizens, Mungu akasaidia Rais Magufuli akachomekwa. Oh Loard thank you. Membe angechukuwa Urais, baada ya meizi sita Tanzania ingekuwa kama Zimbabwe, pengine zaidi ya Zimbabwe, nchi ilikuwa inaelekea pabaya.
Wanyonge wasingesikika. Mungu ni mukumbwa anna njia zake za kuwaokowa wanyonge. Sijuwi Kama Membe amemaliza kuandika kitabu chake ningependa kukisoma,, kujuwa mamillioni ya Watanzania aliyotumia kwa safari zake za nje.
 
Back
Top Bottom