Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.
Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.
Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.
Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.