Upinzani ndo walikata jina la Membe? Badili mada na kusema "Bila CCM imara, rais angekuwa Lowassa"
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.
Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.
Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.
Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.
kwani magufuli aliteuliwa BAADA ya lowasa kuja chadema au kabla?
Wala naamin alifanya yote haya ni mzee mkapa
Baada ya Lowassa alovyokatwa hasira za team lowasa ndani ccm ikamchagua magufuli
Mkuu unajua hawa wengne n ushabiki tu wa vyama ndo unawasumbua kwasababu Magufuli alipitishwa na Ccm kabla Lowassa hajaenda Ukawa, sasa haya maneno sijui wanayatoa wapi.
Alafu Magufuli alikuwa akizunguka nchi nzima kwa gari wakati wa kampeni hivo alikutana na hizi kelo za wananchi,alipoingia Ikulu ndo huyo anaanza kuzifanyia kazi sasa hili la kusema UKAWA wamemfumbua macho linakujaje?
hiyo mnajiliwadha tu eti team Lowasa kumchagua Magufuli. Team Lowasa ilitakiwa ichague mtu dhaifu ili waje wamshinde kwenye kura kirahisi, if any . Ni ujinga kuchagua mtu mwenye reputation kama Magufuli atleast kwa TZ harafu uje ushindane naye na kisha ugomee matokeo.
Hii ya kusema team Lowasa ilimchagua Magufuli ni ujinga.
Wapenzi wa lowassa ndani ya NEC waliamua kuwa chaguo la kikwete (Membe) hawezi penya kwa namna yoyote ile,mpira ukamuangukia JPM!
Tumalize hivi mtoa mada alikosea ku cot ni kwamba baada ya lowasa kukatwa kwenye mchujo wale wafuasi wa lowasa walikuwa wengi sana so kwa hasira ili membe asipite wakampigania magufuli mpaka amepita
Ndiyo maana yake.Acha kujitoa ufahamu,Lowasa kaenda ukawa baada ya kukatwa,Hivyo kukatwa kwa membe hakuna relationship na Lowasa kwenda ukawa.Sema hivi wafuasi wa lowasa wa CCM ilibidi wampigie kura Magufuli ili Membe asipenye na walifanya hivyo ili kumkomoa JK
kwani magufuli aliteuliwa BAADA ya lowasa kuja chadema au kabla?