Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,220
Usitutishe
Haku mtoto sio wakufanyia majaribioSawa tuzae tuone Kama hutanihangaikia
usauri ua una make sense unapotoka kwa muatirika wa janga husika maana anakua na real life experience.Ushauri utolewe watu wote wapimwe, walioathirika waanze kutumia dawa. Wakifubaza wadudu hawataambukiza wengine.
Hao wanaume wanaogopa lakini michepuko hawaiachi kutwa kusarandia, sasa wanaogopa nini!sema baki na mke au mume wako.maana hapa hujawa gender sensitive.Inasemekana Wanawake ndiyo wanaoongoza kwa kutouogopa UKIMWI.wanaaume ni waoga balaa.na huwa wana hofu sana wakistukia kuna tabia hatarishi wamefanya
Kama dawa za asili mbona watu hawatumii au ndiyo kila mtu anaenda kwa siri siri na kuogopa kutangaza?Tiba za asili zipo na zinaua virus japo Wazungu wanaamini Virusi hawafi. Nimeshuhudia watu kadhaa.
Halafu wakishakipata wanachotafuta wanatulia kimya , na shida zote anatupiwa mke , Mungu awasaidiye wanawake jamani!Mungu atusaidie. Hali sio mzuri Sana. Hawa wanaume ambao bado wanaona ufahari kuwa na msururu wa michepuko. Ni changamoto kubwa Sana.
Labda kwa vile sera ya CCM imebainisha kutambua na kuthamini tiba asili zitatoka hadharani. Lakini zipo na watu wanapona. Nasema hivyo nimeshuhudia.Kama dawa za asili mbona watu hawatumii au ndiyo kila mtu anaenda kwa siri siri na kuogopa kutangaza?
Shida nini mkuuNa hayo madonge yanasumbua kama una kinga dhaifu utaumwa kila leo uombe uwe na group zuri la damu hapo hutasumbuka maana nina mtu wa karibu hapa kila siku mgonjwa hata sielewi nifanyaje nae
Mungu atusaidie maana familia hizi watu wanaumwa kimya kimya tu jamani!Labda kwa vile sera ya CCM imebainisha kutambua na kuthamini tiba asili zitatoka hadharani. Lakini zipo na watu wanapona. Nasema hivyo nimeshuhudia.
Mimi ni mwaminifu mkuu, sina michepuko kabisa, najitambua kakaVipi wewe huwa unatumia kinga?
Hata kula vizuri mkuu, dawa zikiisha nguvu tu basi, wenzako mpaka wanabadilishiwa damu, lakini inafikia mahali mwili unachoka hapo hakuna cha dawa wala nini lazima uondoke ghafla bin vuu!Dawa ni kula vizuri tu,,
Dawa zinasaidia sana mkuu,Zile dawa ndio zinaua watu
Hapana mkuu sidanganyi wala kufurahisha umma, nimeshuhudia hayo niliyoandika, na mpaka muda huu, kuna afisa mmoja wa serikali yuko hoi, kwasababu ya ukimwi. Ninaandika nachokijua mkuu,Ingekuwa ukimwi una sifa hizo ulizozitaja basi leo hii pasingekuwapo mtu Tanzania hii, ni kwamba huo ugonjwa upo ila watu walishapewa tahadhari kuanzia wazee mpk watoto wadogo wanajua jinsi ya kuepuka so kilichobaki ni nature tu.
Bila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa litaangamia lote.
Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana pesa. Wanasambaza kwa vijana na vijana wanasambaziana.
Siri ni kubwa sana na Taifa lina angamia. Vijana wana angamia na wazee pia nani atapona nani atakuwa na uchungu kwa Taifa?