Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaliza Taifa

Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaliza Taifa

Ndugu bila kuchukua tahadhali huu ugonjwa ni tisho, sio kwa taifa bali kwa mtu husika. Kwanza jiulize kumeza madawa kila siku na kuzorota kwa kinga ya mwili.

2020 Tanzania ina wagonjwa 1,600,000. Hii inakaribia kabisa nguvu kazi iliyompigia kura TUNDU.
Piga hesabu utagundua hili gonjwa ni propaganda yn tng limeanza mpk leo ni wagonjwa mil 1.6 tu na tunaambiwa halina tiba.
 
Mungu atusaidie.... Hali sio mzuri Sana ... Hawa wanaume ambao bado wanaona ufahari kuwa na msururu wa michepuko. Ni changamoto kubwa Sana.
Mkuu mbona umewatazama wanaume pekee yao? Nyooshea kidole na wadada wadangaji aka slay queens!
 
Piga hesabu utagundua hili gonjwa ni propaganda yn tng limeanza mpk leo ni wagonjwa mil 1.6 tu na tunaambiwa halina tiba.
Ndugu hizi ni takwimu rasmi, lakini jiulize wangapi hawajapima?

Licha ya hivyo, watu wamepewa sana elimu kujikinga na maambukizi mapya. So ni sahihi.

Cha msingi ni mimi na wewe ikiwa hatumo kwebye hiyo idadi tunachukua hatua gani kuhakikisha hatupandishi namba.
 
Tatizo tuna mashaka sana na tiba za asili kwa kuwa hazikusimamiwa vyema matapeli wakaingilia. Ila ukweli ndio huo tiba asili ya VVU ipo.
Haya tuelekeze basi
 
[emoji3][emoji3][emoji3] pole aisee. Kama kile kipimo cha macho kakikataa hamna namna itabidi uende kupima tu.
Mmmmhh huwa awamaanishagi hawa wanachokisema
 
Wengi wanajidanganya kwamba eti dawa imepatikana, wanasema heri ukimwi kuliko Ebola au corona maana ukimwi unaweza kutumia dawa uka survive hata miaka 20 wakati Ebola na corona week mbili tu umekatika,

Kiukweli ukimwi unaua watu wengi sana sana , jamani dawa zina mwisho wake wa nguvu, zinafika mahali zinaishiwa nguvu kabisa, nimeshuhudia watu wengi sana wanaotumia dawa wakiondoka baada ya dawa kushindwa kazi kabisa, ndugu zangu chonde chonde wapendwa tuwe makini jamani Ukimwi bado upo na una ua wandugu!

Zile dawa ndio zinaua watu
 
Haya tuelekeze basi
Mimi sio tabibu mlmwenye dawa mkuu. Mimi ni mnufaika kupitia ndugu yangu. Wenyewe wapo ukitaka.

Mimi najua dawa moja tu ya kipanda uso 🤣🤣nilifundishwa na bibi kiliponisumbua sana.
 
Wengi wanajidanganya kwamba eti dawa imepatikana, wanasema heri ukimwi kuliko Ebola au corona maana ukimwi unaweza kutumia dawa uka survive hata miaka 20 wakati Ebola na corona week mbili tu umekatika,

Kiukweli ukimwi unaua watu wengi sana sana , jamani dawa zina mwisho wake wa nguvu, zinafika mahali zinaishiwa nguvu kabisa, nimeshuhudia watu wengi sana wanaotumia dawa wakiondoka baada ya dawa kushindwa kazi kabisa, ndugu zangu chonde chonde wapendwa tuwe makini jamani Ukimwi bado upo na una ua wandugu!
Dawa ni kula vizuri tu,,
 
Mungu atusaidie.... Hali sio mzuri Sana ... Hawa wanaume ambao bado wanaona ufahari kuwa na msururu wa michepuko. Ni changamoto kubwa Sana.
Hawa wanawake ambao bado wanaona ufahari kuwana na msururu wa masponsors.
 
ukimwi haupo!!

Ukimwi upo na unaua, kuna watu 72,000 wanao ambukizwa kila mwaka.
 
Money vs Education, Multipart vs Single part system, Self employed vs Formal employed which one is better?

Being married vs not married, multi -partners vs single partner, xx vendors vs non-vendors etc,

Let's remain faithful
 
Mimi nimezika mjomba na mke wake Kwa huu huu ukimwi, na Sasa kaka yangu anatumia ARV [emoji26]. ukimwi upo tena ukiupata ndo hautoki milele.
 
Mimi nimezika mjomba na mke wake Kwa huu huu ukimwi, na Sasa kaka yangu anatumia ARV [emoji26]. ukimwi upo tena ukiupata ndo hautoki milele.
Sasa nani amewahi kufa bila ukimwi?
 
Back
Top Bottom