Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 3,096
- 6,128
Ni haki unipatie hitaji langu mama....Ndio tunapotezea Mimi tendo nitafanya nikitaka mtoto baada ya hapo Sina mda nyie wenyewe hamtulii
Usiponipa anipe nani!?
Ni haki unipatie hitaji langu mama....Ndio tunapotezea Mimi tendo nitafanya nikitaka mtoto baada ya hapo Sina mda nyie wenyewe hamtulii
Naomba somo kidogo apaUshauri utolewe watu wote wapimwe, walioathirika waanze kutumia dawa. Wakifubaza wadudu hawataambukiza wengine.
Lkn si kuna kondom,kwan hazizuii ukimwiukimwi bado upo, tuache ngono, tuache michepuko ya nje baki na mke wako uliye muoa, hutopata ukimwi.
kwa asilimia 99 ukimwi unaambukizwa kwa ngono.
Ni wapi hujaelewa, maambukizi yakisitishwa huko mbeleni tutapata kizazi ambacho ni HIV free.Naomba somo kidogo apa
Duh!Juliana anapita na wengi kwa kasi sana, tuchukue tahadhari.
Virus kufubaa na kuzuia maambukizi connection yakeNi wapi hujaelewa, maambukizi yakisitishwa huko mbeleni tutapata kizazi ambacho ni HIV free.
Ukinywa dawa na kufanikiwa kufubuza virusi huwezi kuwaambukiza wengine. Kiingereza wanaita undetectable status ni hali ambayo virus vibavotembea kwenye damu vimeshauliwa na ARV’s.Virus kufubaa na kuzuia maambukizi connection yake
😀😀😀 pole aisee. Kama kile kipimo cha macho kakikataa hamna namna itabidi uende kupima tu.Kwakweli ipite maana leo tu manzi nayofukizia imeniambia tukapime kwanza eet siwezi kukupea
Wakifubaza wadudu hawataambukiza wengine.
Tatizo tuna mashaka sana na tiba za asili kwa kuwa hazikusimamiwa vyema matapeli wakaingilia. Ila ukweli ndio huo tiba asili ya VVU ipo.[emoji848][emoji848][emoji848]
Nilikuwa naangalia vzr date ya hii post nilidhani ni ya 2012 kumbe ya 2020, nani alikuambia kuwa ukimwi bado ni tishio mpk leo?Bila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa lita angamia lote.
Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana pesa. Wanasambaza kwa vijana na vijana wanasambaziana.
Siri ni kubwa sana na Taifa lina angamia. Vijana wana angamia na wazee pia nani atapona nani atakuwa na uchungu kwa Taifa?
Ingekuwa ukimwi una sifa hizo ulizozitaja basi leo hii pasingekuwapo mtu Tanzania hii, ni kwamba huo ugonjwa upo ila watu walishapewa tahadhari kuanzia wazee mpk watoto wadogo wanajua jinsi ya kuepuka so kilichobaki ni nature tu.Wengi wanajidanganya kwamba eti dawa imepatikana, wanasema heri ukimwi kuliko Ebola au corona maana ukimwi unaweza kutumia dawa uka survive hata miaka 20 wakati Ebola na corona week mbili tu umekatika,
Kiukweli ukimwi unaua watu wengi sana sana , jamani dawa zina mwisho wake wa nguvu, zinafika mahali zinaishiwa nguvu kabisa, nimeshuhudia watu wengi sana wanaotumia dawa wakiondoka baada ya dawa kushindwa kazi kabisa, ndugu zangu chonde chonde wapendwa tuwe makini jamani Ukimwi bado upo na una ua wandugu!
Serikali imeshakupa elimu namna ya kujikinga. Unataka ije ikupige kufuli kwenye nyeti ndio utambue inachukua hatua na kulipa kipaombele hili janga. Mambo mengine ni uzembe wa wananchi yakiwapata wanalaumu serikali.Tatizo hichi siyo kipaumbele chao , wameshayatamia madaraka wamesahau raia wanateketea kwa hili gonjwa.
Muhimu ni kuwa na nidhamu katika maisha yako ya ndoa.
Ndugu bila kuchukua tahadhali huu ugonjwa ni tisho, sio kwa taifa bali kwa mtu husika. Kwanza jiulize kumeza madawa kila siku na kuzorota kwa kinga ya mwili.Nilikuwa naangalia vzr date ya hii post nilidhani ni ya 2012 kumbe ya 2020, nani alikuambia kuwa ukimwi bado ni tishio mpk leo?
Ufipa watabisha.Tatizo tuna mashaka sana na tiba za asili kwa kuwa hazikusimamiwa vyema matapeli wakaingilia. Ila ukweli ndio huo tiba asili ya VVU ipo.
Serikali imeshakupa elimu namna ya kujikinga. Unataka ije ikupige kufuli kwenye nyeti ndio utambue inachukua hatua na kulipa kipaombele hili janga. Mambo mengine ni uzembe wa wananchi yakiwapata wanalaumu serikali.
Mfano serikali imetengeneza mitaro ya kuondoa maji, mnafagia na kugeuza mitaro madampo ya taka na siku mafuriko yakiwapiga mnalaumu serikali haizibui mitaro. Nyambafu, kufeni kwa uzembe wenu.