Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaliza Taifa

Watu bwana: Serikali imehangaika wee matangazo, mabango kila sehemu, mahospitalini, kwenye magesti, nk. Lakini ndiyo kwanza kama vile unamwagia petroli kwenye jiko la mkaa.
Aa mwaya wameona wabadilishe kibao.
Siku hizi ni matangazo kwa kwenda mbele: "Afya ya Uzazi wa Mpango"
UKIMWI mtajijua wenyewe!
 
Mkuuukweli ni hatarikutoka mwezi 9/2020 mpaka january 31 /2021 kazini walipima na kukutwawana ngoma wengini vijanawa umri huona wanawake ndo wengi zaidi kati ya 26..wanawake 11 walikuachini ya miaka 20.
Mkuu, 26 ni umri au idadi ya wanawake waliokutwa +ve?
 
Bila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa litaangamia lote.

Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana pesa. Wanasambaza kwa vijana na vijana wanasambaziana.

Ukijiuliza why wanasambaza wanasambaza wakijuwa ukimwi nikama muathirika wa madawa yakulevya. Ukiupata huu ugonjwa unahitaji kupata msaada wakimatibabu ya akili maana Una athiri akili na Una tafuna Mali. Matajiri wakiupata hutumia pesa nyingi kuishi masikin ukimpata muelekeo wa maisha hubadilika anazidi kushuka.

Kama ulikuwa hujuwi Ukimwi Una badilisha ulaji kiasi kama Una watu Mia wanaumwa ktk ofisi yako basi lazima uweke budget ya ziada kuwatunza na ndio maana watu wengi wakiupata wanakula nakuwa kama kiti Moto.

Ukimwi ni umasikini hata Kwa Taifa maana nilazima uwongeze budget Kwa ajili ya waathirika.

Ktk hali kama hii ya usiri watu wakifa hatuwajuwi Ila unasikia amekufa na Maleria au kisukari au vidonda vya tumbo au covid 19 au presha Nani ajuwaye ?

Siri ni kubwa sana na Taifa linaangamia. Vijana wana angamia na wazee pia nani atapona nani atakuwa na uchungu kwa Taifa? Nakutunga sheria Kali kudhibiti huu usiri.

Nimeshuhudia ktk nyumba umeuwa kuanzia dada MTU mpaka wadogo zake na ktk ule mtaa ukaanza na waliovamia mji Kwa Kasi. Inatisha Sana
Tuongee sasa ama wazee watazika vijana kama Kagera. Ukimwi nijanga lakitaifa hata kama hautajwi😭
Mbaya kuliko yote Ukimwi unaweza kuuwita jina lolote vidonda vya tumbo, figo , saratani au depression yaani😭😭😭😭
 
Amekufa kwa ugonjwa wa Ini au vidonda vya tumbo au anaugonjwa wa moyo... Au amejirusha kwa ghorofa 😭😭😭
Alikuwa na kansa ya ubongo
 
kuna kitoto nimekichapa dry kummmaee sijui kimeniachia umeme?
 
Bila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa litaangamia lote.

Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana pesa. Wanasambaza kwa vijana na vijana wanasambaziana.

Ukijiuliza why wanasambaza wanasambaza wakijuwa ukimwi nikama muathirika wa madawa yakulevya. Ukiupata huu ugonjwa unahitaji kupata msaada wakimatibabu ya akili maana Una athiri akili na Una tafuna Mali. Matajiri wakiupata hutumia pesa nyingi kuishi masikin ukimpata muelekeo wa maisha hubadilika anazidi kushuka.

Kama ulikuwa hujuwi Ukimwi Una badilisha ulaji kiasi kama Una watu Mia wanaumwa ktk ofisi yako basi lazima uweke budget ya ziada kuwatunza na ndio maana watu wengi wakiupata wanakula nakuwa kama kiti Moto.

Ukimwi ni umasikini hata Kwa Taifa maana nilazima uwongeze budget Kwa ajili ya waathirika.

Ktk hali kama hii ya usiri watu wakifa hatuwajuwi Ila unasikia amekufa na Maleria au kisukari au vidonda vya tumbo au covid 19 au presha Nani ajuwaye ?

Siri ni kubwa sana na Taifa linaangamia. Vijana wana angamia na wazee pia nani atapona nani atakuwa na uchungu kwa Taifa? Nakutunga sheria Kali kudhibiti huu usiri.

Nimeshuhudia ktk nyumba umeuwa kuanzia dada MTU mpaka wadogo zake na ktk ule mtaa ukaanza na waliovamia mji Kwa Kasi. Inatisha Sana
Ilikuwa 2020 huyu mdudu anapukutisha majabali🫣 kijana kuwa makini nadhani mnanielewa
 
Bila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa litaangamia lote.

Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana pesa. Wanasambaza kwa vijana na vijana wanasambaziana.

Ukijiuliza why wanasambaza wanasambaza wakijuwa ukimwi nikama muathirika wa madawa yakulevya. Ukiupata huu ugonjwa unahitaji kupata msaada wakimatibabu ya akili maana Una athiri akili na Una tafuna Mali. Matajiri wakiupata hutumia pesa nyingi kuishi masikin ukimpata muelekeo wa maisha hubadilika anazidi kushuka.

Kama ulikuwa hujuwi Ukimwi Una badilisha ulaji kiasi kama Una watu Mia wanaumwa ktk ofisi yako basi lazima uweke budget ya ziada kuwatunza na ndio maana watu wengi wakiupata wanakula nakuwa kama kiti Moto.

Ukimwi ni umasikini hata Kwa Taifa maana nilazima uwongeze budget Kwa ajili ya waathirika.

Ktk hali kama hii ya usiri watu wakifa hatuwajuwi Ila unasikia amekufa na Maleria au kisukari au vidonda vya tumbo au covid 19 au presha Nani ajuwaye ?

Siri ni kubwa sana na Taifa linaangamia. Vijana wana angamia na wazee pia nani atapona nani atakuwa na uchungu kwa Taifa? Nakutunga sheria Kali kudhibiti huu usiri.

Nimeshuhudia ktk nyumba umeuwa kuanzia dada MTU mpaka wadogo zake na ktk ule mtaa ukaanza na waliovamia mji Kwa Kasi. Yaani umepukutisha Mtaa nisiwafiche yaani Inatisha Sana.

Zipo Taasisi huyu mdudu alikula kuanzia top leader mpaka mtu wa chini, zipo wizara ilifika mahali watu wakaogopana na sasa unakula wilaya na miji hakika tusipo fungua macho na kwabahati mbaya wanao upata wakati mwingine wapo kwenye meza za maamuzi Taifa tuna haja yakusali navililia vizazi vijavyo 😭
Inawezekana sikueleweka but ukimwi unapukutisha Taifa
 
Juzi Kuna shule moja hapa dsm(jina sirini) walikuwa wanawasajili wanafunzi wa kidato cha kwanza ,walikuwa wanawacheki afya pia ila hasa wasichana,baadhi yao walikutwa na maambukizi ya virus vya ukwiyo na mimba
 
Hivi yule Balthazar wa Guinea aliwezaje kukwepa hiki kikombe maana alikuwa akipaka mate tu kwa wanawake wote 400 waliiko kwenye rika tofauti tofauti.
 
Wengi wanajidanganya kwamba eti dawa imepatikana, wanasema heri ukimwi kuliko Ebola au corona maana ukimwi unaweza kutumia dawa uka survive hata miaka 20 wakati Ebola na corona week mbili tu umekatika.

Kiukweli ukimwi unaua watu wengi sana sana , jamani dawa zina mwisho wake wa nguvu, zinafika mahali zinaishiwa nguvu kabisa, nimeshuhudia watu wengi sana wanaotumia dawa wakiondoka baada ya dawa kushindwa kazi kabisa, ndugu zangu chonde chonde wapendwa tuwe makini jamani Ukimwi bado upo na una ua wandugu!
Kifo kipo tu,kuna watu wanaukimwi takribani miaka 30+ ila kuna watu wamekufa na malaria tu ghafra so Mungu akikuiya haijalishi ukoje
NB:AFYA NI MTAJI MKUBWA SANA YUKITAHIDI KUITUNZA
 
Back
Top Bottom