Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaliza Taifa

Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaliza Taifa

Viongozi wa serikali ya .... Wana ukimwi hii naongea Kwa uzoefu na kujionea baada ya kufanya kazi na wabunge na makatibu pamoja na ile ofisi.
 
Ukimwi ushaishaga kitambo unless kama unagomea dawa.
 
Ukimwi wa sasa unakuua na suti yako fresh tu yaani ki boss boss siyo kama ule wa miaka ya 90 unapandisha kechi & midonda mwili mzima dadeq.
Sawa Ila mkifa na ngoma mnasingizia pressure na moyo
 
Nimeshuhudia ktk nyumba umeuwa kuanzia dada MTU mpaka wadogo zake na ktk ule mtaa ukaanza na waliovamia mji Kwa Kasi. Yaani umepukutisha Mtaa nisiwafiche yaani Inatisha Sana.
Katika hili sikupingi... Nishawahi shuhudia hilo katika familia kadhaa, kapata mmoja baadae familia nzima. Pia nilikuwa kwenye semina moja daktari mmoja alilieza hilo wakati mwingine inakua kama laana Fulani hivi inayo tembea,,, na madaktari hawajui kwanini... Hadi yule daktari akashauri wakati mwingine hebu tumshirikishe Mungu
 
Ukimwi bado upo, tuache ngono, tuache michepuko ya nje baki na mke wako uliye muoa, hutopata ukimwi.

Kwa asilimia 99 ukimwi unaambukizwa kwa ngono.

Tunaachaje ngono? Nafikiri tufanye ngono ila kwa wake zetu na masuria kadhaa kwa wale wanaomfuata Mfalme Suleiman
 
Sawa Ila mkifa na ngoma mnasingizia pressure na moyo

Kwani aliyekufa anatofautishwaje? Kuna ujinga mwingi sana kwenye nani kafaje. Mfano, wanaojiua, mpaka watoe ushuzi, mavi na mkojo tunawaelewaje?
 
Nimekuja kugundua kuna wanaume labda wawe maskini maana wakiwa na hela lazima ukimwi uwahusu
 
Katika hili sikupingi... Nishawahi shuhudia hilo katika familia kadhaa, kapata mmoja baadae familia nzima. Pia nilikuwa kwenye semina moja daktari mmoja alilieza hilo wakati mwingine inakua kama laana Fulani hivi inayo tembea,,, na madaktari hawajui kwanini... Hadi yule daktari akashauri wakati mwingine hebu tumshirikishe Mungu

Hiyo inatokana na matumizi ya dawa ya meno ya kushare ,mtu anasugulia mswaki hadi fizi zinatoka damu ,anachukua mswaki anafungua dawa ya meno anasugua kwenye dawa ya meno ,anakuja member mwingine wa familia anakuja kusugulia pale pale kwenye mfuniko yaani kuambukizana tu.
 
Ila ukimwi umekaa pazuri pale kati patamu jamani hasa usipovaa ma.
Mifuko ni patamu mno
 
Tiba za asili zipo na zinaua virus japo Wazungu wanaamini Virusi hawafi. Nimeshuhudia watu kadhaa.
Habari kama hiz ndo zinapoteza watu wengi sana. watu wanaacha dawa wanahamia kula mizizi hlf mambo yakibuma wanarudi kwenye arv wanajikuta wamechelewa na wadudu wameshapanda kichwani
 
Viongozi wa serikali ya .... Wana ukimwi hii naongea Kwa uzoefu na kujionea baada ya kufanya kazi na wabunge na makatibu pamoja na ile ofisi.
Madam FaizaFixy kama vile uliwahi kusema kwamba kuna mtu hapa Tanzania anaitwa Dr Msigwa Twaybu kuwa anatibu maambukizi ya H.I.V?
 
Back
Top Bottom