Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaliza Taifa

Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaliza Taifa

Hakuna kiumbe anayeweza hili,.
Sio binadamu tuu hata nguruwe hawezi kudate na mmoja tuu hiyo ngumu papaa. Mt muhamadi mwenyewe kachemka sijui kwa yesu
Muddy alikuwa hatarii lakini yeye alivyokuwa anagongewa Aysha alikuwa ana maindi na kumuumaa. Hadi wenzake wakmshaur mbona kunawanawake wengi tuu

Shia hawapendi na hawataki kumsikia Aysha
 
Ni wapi hujaelewa, maambukizi yakisitishwa huko mbeleni tutapata kizazi ambacho ni HIV free.
Best tatizo hili gonjwa limekaa pabaya. Uzuri ni kwamba ukiandikiwa utaupata utaupata na usipoandikiwa pia hivyo hivyo tu.
 
Aisee kuna maeneo naishi kuna mzee ana ngoma na inajulikana lakinia anaingiza mademu gheto hadi hatari. wanawake wanaendekeza sana njaa
Hata vijana pia mkuu, kuna eneo naishi kuna mama mmoja mweupeee mtu mzima sana, anapenda sana vijana hadi kuwahonga, ameambukiza vijana wengi sana, wanaopenda mtelemko a.k.a mtelezo ganda la ndizi au wanaita kitonga, na wale wanaopenda majimama

Hasa vijana Wa Chuo, boda boda, vijana Wa salon na masharobaro Wa mitaani, hali inatisha sana aisee

Vijana amkeni!
 
Miwaya inatisha nyie acheni tu . Kuna kipindi nilikula dem ambae sikumuelewa elewa ,baada ya mda zikaanza homa ...nikagugo early signs of HIV kucheki hiiii dalili nyingi ninazo aisee nilikua na mawazo mnoooo.

Baada ya miezi kadhaa nikapata ujasiri wa kwenda kucheki afya nashukuru majibu yakaja mazuri ila nilisota sana kwa stress 😂
 
Hata vijana pia mkuu, kuna eneo naishi kuna mama mmoja mweupeee mtu mzima sana, anapenda sana vijana hadi kuwahonga, ameambukiza vijana wengi sana, wanaopenda mtelemko a.k.a mtelezo ganda la ndizi au wanaita kitonga, na wale wanaopenda majimama

Hasa vijana Wa Chuo, boda boda, vijana Wa salon na masharobaro Wa mitaani, hali inatisha sana aisee

Vijana amkeni!

kazi ipo
 
Takwimu za wenye maambukizi mengi ni kwa
Wasichana wenye umri kati ya 15-24 sasa kwa kizazi hicho wasivyojali naona balaa likiongezeka ! Zama zile ugonjwa ukiwa unaaingia hata before kuja ARV bongo 2004 ilitosha kuwapa watu somo ugonjwa ulivyo hatari ila kwa sasa hawa wa dot com hawajali na ndio majority of the victims...
 
Miwaya inatisha nyie acheni tu . Kuna kipindi nilikula dem ambae sikumuelewa elewa ,baada ya mda zikaanza homa ...nikagugo early signs of HIV kucheki hiiii dalili nyingi ninazo aisee nilikua na mawazo mnoooo. Baada ya miezi kadhaa nikapata ujasiri wa kwenda kucheki afya nashukuru majibu yakaja mazuri ila nilisota sana kwa stress [emoji23]
Rudi tena uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hyo Yesu ni mbaguz , story tunazoambiwa kwamba anatupenda wote Sawa kumbe sio ?
Yesu ni kwa wote na kila akikupangia kitu kina manufaa na vilevile kinaweza kisiwe na manufaa. Anaweza kukupangia uwe na ukimwi ili body cells zako zipate cha challenge kwasababu zimekaa kibwerebwere na kizembe hazina commitment mwilini kwa iyo ni faida ile mikikimikiki ya hapa na pale zinakuwa active.

Maybe you are too young to understand this one day when you grow up ul understand and remember me.

JESUS is God
 
Acha kumwaibisha Yesu mkuu Kwa comment za hovyo hovyo, yan Mungu akupe Ukimwi ili achangamshe seli,?? Acha uhuni boss
 
Bila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa litaangamia lote.

Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana pesa. Wanasambaza kwa vijana na vijana wanasambaziana.

Ukijiuliza why wanasambaza wanasambaza wakijuwa ukimwi nikama muathirika wa madawa yakulevya. Ukiupata huu ugonjwa unahitaji kupata msaada wakimatibabu ya akili maana Una athiri akili na Una tafuna Mali. Matajiri wakiupata hutumia pesa nyingi kuishi masikin ukimpata muelekeo wa maisha hubadilika anazidi kushuka.

Kama ulikuwa hujuwi Ukimwi Una badilisha ulaji kiasi kama Una watu Mia wanaumwa ktk ofisi yako basi lazima uweke budget ya ziada kuwatunza na ndio maana watu wengi wakiupata wanakula nakuwa kama kiti Moto.

Ukimwi ni umasikini hata Kwa Taifa maana nilazima uwongeze budget Kwa ajili ya waathirika.

Ktk hali kama hii ya usiri watu wakifa hatuwajuwi Ila unasikia amekufa na Maleria au kisukari au vidonda vya tumbo au covid 19 au presha Nani ajuwaye ?

Siri ni kubwa sana na Taifa linaangamia. Vijana wana angamia na wazee pia nani atapona nani atakuwa na uchungu kwa Taifa? Nakutunga sheria Kali kudhibiti huu usiri.

Nimeshuhudia ktk nyumba umeuwa kuanzia dada MTU mpaka wadogo zake na ktk ule mtaa ukaanza na waliovamia mji Kwa Kasi. Inatisha Sana
Ukimwi sio issue. Ongelea kuvunja ukimya kuhusu COVID-19
 
teh teh
Screenshot_2021-02-01-15-00-55.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuukweli ni hatarikutoka mwezi 9/2020 mpaka january 31 /2021 kazini walipima na kukutwawana ngoma wengini vijanawa umri huona wanawake ndo wengi zaidi kati ya 26..wanawake 11 walikuachini ya miaka 20.

Back
Top Bottom