East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,078
Propaganda na kujazana hofu.Piga hesabu utagundua hili gonjwa ni propaganda yn tng limeanza mpk leo ni wagonjwa mil 1.6 tu na tunaambiwa halina tiba.
Propaganda na kujazana hofu.Piga hesabu utagundua hili gonjwa ni propaganda yn tng limeanza mpk leo ni wagonjwa mil 1.6 tu na tunaambiwa halina tiba.
Dhiahaka ipo wapi hapo mkuu ? Ni kweli kama taifa likamlingana Mungu na kujinyekeza.. Mungu akiamua anaweza kuluiondoa. Kama alivyokuwa akiondoa magonjwa mengine kwa watu wakeTambua Mungu hadhihakiwi ndugu. Utapata jibu la dhihaka yako kwa Mungu.
Haelewi kitu. Wanawake ni wengi kuliko wanaume, ila cha ajabu hakuna mwanamke ambae yupo singleMkuu mbona umewatazama wanaume pekee yao? Nyooshea kidole na wadada wadangaji aka slay queens!
kupata ukimwi ni ajali kazini
Jifunze kuwa msiriBila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa lita angamia lote.
Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana pesa. Wanasambaza kwa vijana na vijana wanasambaziana.
Siri ni kubwa sana na Taifa lina angamia. Vijana wana angamia na wazee pia nani atapona nani atakuwa na uchungu kwa Taifa?
Tupige marufuku madada poaMungu atusaidie.... Hali sio mzuri Sana ... Hawa wanaume ambao bado wanaona ufahari kuwa na msururu wa michepuko. Ni changamoto kubwa Sana.
Nakucheck watsapWanawake ni wengi vile ukienda clinic na mimba ni lazima upimwe na nyie wanaume kwenda hospital ni binde ipitishwe Sheria kupima iwe lazima
Hahaaa katafte huko unakojua mkuuNi haki unipatie hitaji langu mama....
Usiponipa anipe nani!?
Okay karibuNakucheck watsap
Dah! nmecheka kama mazuriUkimwi ni biashara, ukimwi ni ajira, ukimwi ni kitega uchumi, ukimwi ni elimu, ukimwi ni kodi ya nyumba ukimwi ni bata.
UKIMWI NI MFUMO WA MAISHA. UKIMWI NI BARGAINING CHIP.
Mkiona funding kwenye Vi-NGO vyenu inapungua basi mnalianzisha tena, tuacheni bhana aaghBila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa lita angamia lote.
Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana pesa. Wanasambaza kwa vijana na vijana wanasambaziana.
Siri ni kubwa sana na Taifa lina angamia. Vijana wana angamia na wazee pia nani atapona nani atakuwa na uchungu kwa Taifa?
Maini yakija kufeli kwa intoxication ya madawa utawapa maini mapyaUshauri utolewe watu wote wapimwe, walioathirika waanze kutumia dawa. Wakifubaza wadudu hawataambukiza wengine.
😎😎😎Tusitishane,starehe ya masikini ni ngono tu acha tufe tu hakuna namna