Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,759
Ninyi mnaotabasamu saaaaaana kwenye avatar zenu ndiyo mtamaliza watu
Ninyi mnaotabasamu saaaaaana kwenye avatar zenu ndiyo mtamaliza watu
sema baki na mke au mume wako.maana hapa hujawa gender sensitive.Inasemekana Wanawake ndiyo wanaoongoza kwa kutouogopa UKIMWI.wanaaume ni waoga balaa.na huwa wana hofu sana wakistukia kuna tabia hatarishi wamefanyaukimwi bado upo, tuache ngono, tuache michepuko ya nje baki na mke wako uliye muoa, hutopata ukimwi.
kwa asilimia 99 ukimwi unaambukizwa kwa ngono.
Wanawake ni wengi vile ukienda clinic na mimba ni lazima upimwe na nyie wanaume kwenda hospital ni binde ipitishwe Sheria kupima iwe lazimasema baki na mke au mume wako.maana hapa hujawa gender sensitive.Inasemekana Wanawake ndiyo wanaoongoza kwa kutouogopa UKIMWI.wanaaume ni waoga balaa.na huwa wana hofu sana wakistukia kuna tabia hatarishi wamefanya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tiba za asili zipo na zinaua virus japo Wazungu wanaamini Virusi hawafi. Nimeshuhudia watu kadhaa.Ushauri utolewe watu wote wapimwe, walioathirika waanze kutumia dawa. Wakifubaza wadudu hawataambukiza wengine.
Ingekua vizuri kama watu watakua na uelewa wa kupima damu kila mara hata kama wanatumia dawa za asili. ARV zimefanyiwa majaribio ya kisayansi na kuna ushahidi kuwa zinafubaza virusi lakini wengi wanaacha kutumia ARV wakitumia dawa za kienyeji matokeo yake bado hayajafanyiwa utafiti wa kisayansi.Tiba za asili zipo na zinaua virus japo Wazungu wanaamini Virusi hawafi. Nimeshuhudia watu kadhaa.
Lucas Mobutu jifunze hapaMungu atusaidie.... Hali sio mzuri Sana ... Hawa wanaume ambao bado wanaona ufahari kuwa na msururu wa michepuko. Ni changamoto kubwa Sana.
Sio kweliTiba za asili zipo na zinaua virus japo Wazungu wanaamini Virusi hawafi. Nimeshuhudia watu kadhaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmeanza...
Acha uoga! Kama UKIMWI ungekuwa unaangamiza, mpaka sasa taifa la South Africa lingekuwa limeshatoweka kwenye ramani ya Dunia!
Kwakweli ipite maana leo tu manzi nayofukizia imeniambia tukapime kwanza eet siwezi kukupeaHii December mosi ipite tu maana kila ikikaribia ni tafarani tu. Kila aina ya story utaisikia
NB: Ukimwi upo lakini
Wengi wanajidanganya kwamba eti dawa imepatikana, wanasema heri ukimwi kuliko Ebola au corona maana ukimwi unaweza kutumia dawa uka survive hata miaka 20 wakati Ebola na corona week mbili tu umekatika,
Kiukweli ukimwi unaua watu wengi sana sana , jamani dawa zina mwisho wake wa nguvu, zinafika mahali zinaishiwa nguvu kabisa, nimeshuhudia watu wengi sana wanaotumia dawa wakiondoka baada ya dawa kushindwa kazi kabisa, ndugu zangu chonde chonde wapendwa tuwe makini jamani Ukimwi bado upo na una ua wandugu!
[emoji848][emoji848][emoji848]Tiba za asili zipo na zinaua virus japo Wazungu wanaamini Virusi hawafi. Nimeshuhudia watu kadhaa.