Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaliza Taifa

Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaliza Taifa

ukimwi bado upo, tuache ngono, tuache michepuko ya nje baki na mke wako uliye muoa, hutopata ukimwi.
kwa asilimia 99 ukimwi unaambukizwa kwa ngono.
Na mke akiwa anatoka akakuletea nyumbani? Sema tu tuache kuduu tuwe kama wasomali kuvaa mabomu tu na kuuana kwa hasira kisingizio dini.
 
Siku hizi UKIMWI hauzungumziwi sana, ni kama haupo vile kumbe unatafuna kimya kimya huku vijana wakishindana kuzama Uvinza.

Ripoti ya juzi imestua wengi, ila ukweli ni kwamba ukimwi tumeuzoea na kuupuza ni kama hautishi tena.

Hadi usiku utapokwisha.
 
Acha uoga! Kama UKIMWI ungekuwa unaangamiza, mpaka sasa taifa la South Africa lingekuwa limeshatoweka kwenye ramani ya Dunia!
Mkuu south africa ina watu million 58.
Kati ya hao million 58 sio wote wameambukizwa sababu wanatumia arv ambazo zinazuia mwambukiza mwengine
Pia umesahau kuwa ARV ambazo ukitumia unaweza ukasurvive 15 to 20 years.
Ina maana mtu asiye na virus anaweza kufanya ujinga na mwenye virus na asipate virus na wote watasurvive.
Na umesahau kuwa kila siku wanazaliwa watoto wengi sana.
Ina maana huyo mtu mwenye virus akifa wale watoto tayari wameshakua 15to20 years.

hiyo ni cycle hivyo huwezi kuona wanapungukua au kutokweka.

Au subiri wakate misaada ya ARV then utaona wakipunguka taratibu hata kama watoto wanazaliwa kila siku.
 
Ukinywa dawa na kufanikiwa kufubuza virusi huwezi kuwaambukiza wengine. Kiingereza wanaita undetectable status ni hali ambayo virus vibavotembea kwenye damu vimeshauliwa na ARV’s.

Eti virusi vimeshauliwa, kalagabaho!

Virus can exist in both living and non living form.
 
Nitakua wa mwisho kurudi kuamini kua Ukimwi ni ugonjwa.
Pimeni wote me mtakuja kuni hadithia tu.
 
Don't put attention on things that you don't want...

If u think too much about ukimwi you're attracting ukimwi...

Mfano:- Corona baina ya mataifa mawili Kenya na Tanzania.
 
Piga hesabu utagundua hili gonjwa ni propaganda yn tng limeanza mpk leo ni wagonjwa mil 1.6 tu na tunaambiwa halina tiba.
Mkuu tanzania ina watu million 59.
Kati ya hao million 59 sio wote wameambukizwa sababu wagonjwa wanatumia ARV ambazo zinazuia kumwambukiza mwengine
Pia umesahau kuwa ARV ambazo ukitumia unaweza ukasurvive 15 to 20 years.
Ina maana hao watu mil 1.6 ni watu wa miaka ya 2000-2005 na mpaka leo bado wapo hivyo idadi inaongezeka taratibu.
Ina maana mtu asiye na virus anaweza kufanya ujinga na mwenye virus na asipate virus na wote wakasurvive.
Na umesahau kuwa kila siku wanazaliwa watoto wengi sana.
Ina maana huyo mtu mwenye virus akifa wale watoto tayari wameshakua 15to20 years.

hiyo ni cycle hivyo huwezi kuona wanaongezeka kwa fujo.

Au subiri wakate misaada ya ARV then utaona wakiongezeka kwa fujo hata kama watoto wanazaliwa kila siku.
 
Mungu atusaidie. Hali sio mzuri Sana. Hawa wanaume ambao bado wanaona ufahari kuwa na msururu wa michepuko. Ni changamoto kubwa Sana.
Na wanawake wanaokubali kuwekwa michepuko je? Ilivyo ni kwamba nchi yetu utamaduni wa kupenda ngono umeenea sana. Mwanamke akitoka nyumbani asubuhi lazima atakuwa ametongozwa na wanaume wengi tu. Na mbaya zaidi hao wanaume wanaomtongoza wote wana wake/wapenzi na michepuko kadhaa. Ukienda nyumba za ibada nako kina Rashidi Gwajima kila muumini mzuri wanataka kulala naye.
 
Wengi wanajidanganya kwamba eti dawa imepatikana, wanasema heri ukimwi kuliko Ebola au corona maana ukimwi unaweza kutumia dawa uka survive hata miaka 20 wakati Ebola na corona week mbili tu umekatika

Kiukweli ukimwi unaua watu wengi sana sana , jamani dawa zina mwisho wake wa nguvu, zinafika mahali zinaishiwa nguvu kabisa, nimeshuhudia watu wengi sana wanaotumia dawa wakiondoka baada ya dawa kushindwa kazi kabisa, ndugu zangu chonde chonde wapendwa tuwe makini jamani Ukimwi bado upo na una ua wandugu!
Wengine wanajisifu kabisa kuchepuka na wanadai ni nature.
 
Nyie hamridhiki Bora tuwabanie mkapate ngoma huko, sasa mkeo amekuchoka Hana hamu na wewe ajidaganye kukupa hell no, Bora mkazurule huko tu mnakojua wenyewe, tena mie nikashazaa watoto wangu sihangaiki na wewe kabisa loh
Sawa tuzae tuone Kama hutanihangaikia
 
Mkuu tanzania ina watu million 59.
Kati ya hao million 59 sio wote wameambukizwa sababu wagonjwa wanatumia ARV ambazo zinazuia kumwambukiza mwengine
Pia umesahau kuwa ARV ambazo ukitumia unaweza ukasurvive 15 to 20 years.
Ina maana hao watu mil 1.6 ni watu wa miaka ya 2000-2005 na mpaka leo bado wapo hivyo idadi inaongezeka taratibu.
Ina maana mtu asiye na virus anaweza kufanya ujinga na mwenye virus na asipate virus na wote wakasurvive.
Na umesahau kuwa kila siku wanazaliwa watoto wengi sana.
Ina maana huyo mtu mwenye virus akifa wale watoto tayari wameshakua 15to20 years.

hiyo ni cycle hivyo huwezi kuona wanaongezeka kwa fujo.

Au subiri wakate misaada ya ARV then utaona wakiongezeka kwa fujo hata kama watoto wanazaliwa kila siku.
Siku ambayo watakatisha msaada wa ARV ndipo watakuwa wamejiroga mazima dawa zetu za asili ndiyo itawaumbua asbh kweupee.
 
Acha uoga! Kama UKIMWI ungekuwa unaangamiza, mpaka sasa taifa la South Africa lingekuwa limeshatoweka kwenye ramani ya Dunia!
Wewe unasema nini? Unajuwa SA wanavyo angamia tena mbaya black men. Funga mdomo SA ukimwi ni maleria
 
Hiz ARV ndo zimezidisha maambukizi.

Kama arv zisingeletwa Tz (1) had saivi wale waathirika wa mwanzo wangeshaisha au kupungua sana

(2) waathirika wachache waliobaki wangejulikana kirahisi

(3) kwa saabu bnadam anajifunza vzuri kwa kuona, hofu ya kuona mifupa inayotembea (walioona waathirika hasa miaka ileee wanajua vzuri hili) ingepunguza au kufuta kbisa maambukiz mapya
 
Back
Top Bottom