Bila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa litaangamia lote.
Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana pesa. Wanasambaza kwa vijana na vijana wanasambaziana.
Ukijiuliza why wanasambaza wanasambaza wakijuwa ukimwi nikama muathirika wa madawa yakulevya. Ukiupata huu ugonjwa unahitaji kupata msaada wakimatibabu ya akili maana Una athiri akili na Una tafuna Mali. Matajiri wakiupata hutumia pesa nyingi kuishi masikin ukimpata muelekeo wa maisha hubadilika anazidi kushuka.
Kama ulikuwa hujuwi Ukimwi Una badilisha ulaji kiasi kama Una watu Mia wanaumwa ktk ofisi yako basi lazima uweke budget ya ziada kuwatunza na ndio maana watu wengi wakiupata wanakula nakuwa kama kiti Moto.
Ukimwi ni umasikini hata Kwa Taifa maana nilazima uwongeze budget Kwa ajili ya waathirika.
Ktk hali kama hii ya usiri watu wakifa hatuwajuwi Ila unasikia amekufa na Maleria au kisukari au vidonda vya tumbo au covid 19 au presha Nani ajuwaye ?
Siri ni kubwa sana na Taifa linaangamia. Vijana wana angamia na wazee pia nani atapona nani atakuwa na uchungu kwa Taifa? Nakutunga sheria Kali kudhibiti huu usiri.
Nimeshuhudia ktk nyumba umeuwa kuanzia dada MTU mpaka wadogo zake na ktk ule mtaa ukaanza na waliovamia mji Kwa Kasi. Yaani umepukutisha Mtaa nisiwafiche yaani Inatisha Sana.
Zipo Taasisi huyu mdudu alikula kuanzia top leader mpaka mtu wa chini, zipo wizara ilifika mahali watu wakaogopana na sasa unakula wilaya na miji hakika tusipo fungua macho na kwabahati mbaya wanao upata wakati mwingine wapo kwenye meza za maamuzi Taifa tuna haja yakusali navililia vizazi vijavyo 😭