FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
wanaovaa makoti meupe wote sio madokta,
Wengine ni wauza nyama.
Ff mzee kama anamiaka thelasini ktk ndoa na kama aliolewa na miaka20 inamana ana miaka50.
Ushauri😛unguza majungu na ulee wajukuu zako.
Napokea ushauri lakini "majungu" si sifa yangu. Tena hao wajukuu ndio wananifanya unione kwa sana hapa JF, ingekuwa si wao ningekuwa nachanja mbuga tu. Unanshangaza!