=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

Yaani kama i was married mara ya kwanza maybe two years...

Alafu saizi maybe nina four years of marriage... naweza jumlisha?? lol

Ili tu nipate ile zawadi, na 30th ann ifike haraka....

Hell no. lol. Ile zawadi (Pearl) ni special kwa 30 years anniversary.
Unless ukiunganisha inafika 30 years, I am afraid you won't get a Pearl.
Ulicheki Gaga mwenyewe aliambulia furniture for her 17 years in marriage.
If you're married for 2 years and now you're married again for 4 years total ni 6 years, then your present will be Iron, Sugar or a wood object.
Will give you 2 kilos of sugar. lol
 
Miaka thelathini !!!! Hongera sana? Ndiyo maana mda mwingi yupo humu Jamvini maana alikwisha jistaafia siku nyingi sasa kwasasa anajipumzikia kwa kutumia mda mwingi Jf.
 
duh, jamani, kumbe FF ni mama yangu kabisa na wala sio dada yangu kama ambavyo nimekuwa nikimuita siku zote!

30 yrs in mariage ni zaidi ya umri wangu! hongera mama, hongera sana mama FF, Mungu awajalie na baba maisha marefu na yenye baraka zaidi. naamini ni mmoja wa watu ambao JF inajivunia kwa kuleta changamoto na katika ku-balance opinions. najivuna kuwa na mama strong, creative and active tena katika mambo wanayokimbia wengine kama siasa. kama alivyosema Ashadii, tutafurahi kupata siri ya mafanikio yako, wengine bado kuingia humo ulimoishi wewe kwa miongo mitatu bila kupungukiwa kicheko, tabasamu, amani ya moyo, mahaba, wala mkate. tungependa kujifunza kwako na kuliinua jina la Bwana kupitia maisha yako.

hongera sana na Mungu akubariki pamoja na mwenzio. awajalaie maisha marefu yaliyopitiliza, muone hadi vitukuu vya vitukuu na pamoja daiama hadi kifo kitakapowatenganisha

Miss Judith... Yaani mshangao wako ndio ulikua wangu wakati nimejua... I thot she is lying na i had to PM her nijue ukweli, But then akadhihirisha kabisa na kusema mwezi huu tarehe ya leo (28th/07) anatimiza 30 years.... i was/still genuinely impressed... Napenda saana watu wanaothamini ndoa zao... na najua kua she has many critics ambao hii infor itawasaidia kuelewa a bunch of issues about her...(kwa wale wenye utafakari lakini....). I admire her ingawa nimengi we don't agree on... and mengi we agree on... na kweli kabisa I am proud of her success... in fact she is way over older than i am... for mamangu mwenyewe ni very early 50s... And she (FF) is a really great person if you get to know her....
 
Hell no. lol. Ile zawadi (Pearl) ni special kwa 30 years anniversary.
Unless ukiunganisha inafika 30 years, I am afraid you won't get a Pearl.
Ulicheki Gaga mwenyewe aliambulia furniture for her 17 years in marriage.
If you're married for 2 years and now you're married again for 4 years total ni 6 years, then your present will be Iron, Sugar or a wood object.
Will give you 2 kilos of sugar. lol

Yaani wee EMT... I am Lmao.... Dah! Sugar?? Jamani!!!
 
Miaka thelathini !!!! Hongera sana? Ndiyo maana mda mwingi yupo humu Jamvini maana alikwisha jistaafia siku nyingi sasa kwasasa anajipumzikia kwa kutumia mda mwingi Jf.

I like your perspective....
 
Hongera sana FF, thirty years is such an achievement and I am sure with your character utakua umekwepa mishale mingi sana maana waswahili huwa hatuwezi kuvumilia lazima kuna makonzi mawili matatu ulikula ili kukukumbusha wajibu

I love that you have reached 30 year, adn i wish i would have gotten married earlier, coz i would have been i the range

Nevertheless, I still want you (for moon's sake)

seriously, MMe wa Faiza anahitaji Nobel Prize.....
 
Miss Judith... Yaani mshangao wako ndio ulikua wangu wakati nimejua... I thot she is lying na i had to PM her nijue ukweli, But then akadhihirisha kabisa na kusema mwezi huu tarehe ya leo (28th/07) anatimiza 30 years.... i was/still genuinely impressed... Napenda saana watu wanaothamini ndoa zao... na najua kua she has many critics ambao hii infor itawasaidia kuelewa a bunch of issues about her...(kwa wale wenye utafakari lakini....). I admire her ingawa nimengi we don't agree on... and mengi we agree on... na kweli kabisa I am proud of her success... in fact she is way over older than i am... for mamangu mwenyewe ni very early 50s... And she (FF) is a really great person if you get to know her....

Forgive me nikikosea..but did u mean ni effects za menopause!??
Na yeye kuitetea ccm kunatokana na experience yake ya zamani!??

Well,
Mama FF (maana hata mimi huu umri sijafikisha kweli) hongera sana kwa miaka yote hiyo ndani ya ndoa..si jambo la kuchukulia for granted...ni la kumshukuru Mungu sana!
Mbarikiwe sana..na nawatakia maisha mema na marefu zaidi!
HAPPY ANNIVERSARY!!!
 
wanaovaa makoti meupe wote sio madokta,

Wengine ni wauza nyama.

Ff mzee kama anamiaka thelasini ktk ndoa na kama aliolewa na miaka20 inamana ana miaka50.

Ushauri:punguza majungu na ulee wajukuu zako.
 
Kumbe ni mdada!!!! Hongera sana,mie miaka 3 tu tumeshachokana.

hahahahha...thnx kwa kunianzishia cku yangu kwa kicheko, hawa wamekaa kwenye ndoa mpaka wamefanana sasa khaa! cjui natamani na mie nifikie huko cjui hata, FF hongera sana.....yaani hii mikiki mikiki cjui mmeiwezaje jamani, hebu tupe kauzoefu.
 
Hongera sana FF, thirty years is such an achievement and I am sure with your character utakua umekwepa mishale mingi sana maana waswahili huwa hatuwezi kuvumilia lazima kuna makonzi mawili matatu ulikula ili kukukumbusha wajibu

I love that you have reached 30 year, adn i wish i would have gotten married earlier, coz i would have been i the range

Nevertheless, I still want you (for moon's sake)

seriously, MMe wa Faiza anahitaji Nobel Prize.....

I second every word of this post (except the purple of coz....)

Thank you MTM...
 
Forgive me nikikosea..but did u mean ni effects za menopause!??
Na yeye kuitetea ccm kunatokana na experience yake ya zamani!??

Well,
Mama FF (maana hata mimi huu umri sijafikisha kweli) hongera sana kwa miaka yote hiyo ndani ya ndoa..si jambo la kuchukulia for granted...ni la kumshukuru Mungu sana!
Mbarikiwe sana..na nawatakia maisha mema na marefu zaidi!
HAPPY ANNIVERSARY!!!

Mentor my Kid bro just for non-argument sake... Kuna post katuma
Ezan huko nyuma.... imeelezea kua sasa he understands her mo'

Enways... I love your words on the appraisal on FF... and do take notes...
 
Sikutegemea kama faizafoxy ni mkubwa kiasi hicho-
anyway-hongera kwa kuweza kustahimili vishindo vya ndoa-hii inanipa moyo kuwa on the other side-you are a good mum,keep it up
 
wanaovaa makoti meupe wote sio madokta,

Wengine ni wauza nyama.

Ff mzee kama anamiaka thelasini ktk ndoa na kama aliolewa na miaka20 inamana ana miaka50.

Ushauri:punguza majungu na ulee wajukuu zako.

Interesting....
 
sasa ashadii mbona unajipongeza mwenyewe halafu tena unajisahau mara utumie ****Fox na badae AshaNgedere?

Umeona eeeh?? Mi tu hua nakushangaaa wewe huna guts za kutumia

ID zako kuji comment... ni PM nikupe maujuzi...lol
 
Back
Top Bottom