=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah !!! Eh eh eh eh eh eh eh eh eh !! Kwi kwi kwi kwi kwi kwi !! Mbavu zangu mie kumbe umeshiba uvinza kiasi hicho

Hongera sana sana FAIZA..

For the record jina ''FOXY'' ndio nalizimia kinoma humu ndani,lanipa raha tehe! tehe! tehe!

kwa leo naishia hapa siongezi neno

Matumbo ahsante saaaaaaana. Unacheka, umenuna, unalia au unatabasam? kwenye hiyo avatar.
 
Faiza Foxy takulete zawadi ya kitezo na Nikabu kutoka dubai kwa kutimiza miaka 30 ya ndoa yako!

Ahsante sana Chatu. Nashkuru. Mwenyeezi Mungu akuzidishie moyo wa kutoa. "mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini"
 
FF nimecheka mpaka nikashindwa kumalizia posts....eti Gozi limelala nimelichosha... I bet there isnt such a thing as a boring moment in your house!

I hate suprises....mmh lkini yako nimeipenda!!!

Hongera sana na Mwenyezi Mungu azidi kuwabarki!

Ahsante sana, believe it gets so boring and that's why you see me on JF most of the times. Gozi linasafiri sana kwa kazi zake, watoto wawili wameolewa wako kwa waume zao, mmoja anafanya kazi kwa muda huko Canada, mmoja anasoma Scotland, all alone at home, mjukuu na watoto wa ndugu zangu nnao kaa nao wako school most of the time, you can imagine how boring it can be. but for few days, oooh they'll are all here and it gets so warm and full of kelele sometimes but right now, I am all alone at the moment, Gozi taabani limelala, linajidai limechoka linajuwa ntalidai! hawa watoto hawakai wanachukuliwa na marafiki zao, hivi mpaka warudi ndio ntapata kulala, na leo "weekend" nimekaa hapa nna wasiwasi kama nini, InshaAllah watarudi salama.
 
Natamani nilifahamu hilo Gozi, yupo JF?

JF anaijuwa na anajuwa I am addicted to JF lakini yeye haingii kabisa, isipokuwa mie humuuliza mengi na nnayachomekea humu, lol. Kuna mmoja alini pm kutaka kumjuwa nikampa jina lake I am sure kisha mfaham ni nani. He is a Great man, believe me, once you know him you'd feel you've known him all your life. Sema anafurahi akinikuta bz na JF anasema bora ukae na kubishana JF kuliko kuzururuka mitaani.
 
ADii, Tell Faiza Foxy I say hi, and wish her good health and long life. May God bless her wherever she may be.
Faiza Foxy, I know you don't like my avatar, but I like you!!

Raj Patel Jr. Thank you very much, I like your avatar its an artwork but I can not open it in front of kids you know, its embarrassing.
 
Mi sijaona kitu bado zaidi ya kutetea magamba nadhani hata wewe unatoa hongera ni mlengo wa magambas. anyway siku zenu zinahesabika za kuitwa chama cha upinzani ka si kufa kabisa.

Hata wale wanaolipwa kwa siasa hupeana hongera kwenye vya kufurahia na hupeana pole kwa vya kusikitisha! Unanshangaza!
 
Hii miaka 30 kwa wanaume wangapi? maana sie ndio zetu kila mfungo waweza kuwa unaolewa na uanachika baada ya mfungo.
accumulation ya miaka 30 kwa wanaume wangapi dear?
Niswali tu.

Mmoja tu.
 
Wasiwasi wangu sasa,FF will never be the same again,hii thread imeleta bondage CONSQUENCES zake ni FF atachukua a middle of the road approach katika thread na posting zake-i think we have seen the last of the all conquering,snarling bulldog type FF-if it so happens it will be sad

FF will be FF, najuwa AshaDii she is so smart doing her best to tame me but they say "you can't teach an old dog new tricks".
 
ashadii.......................mpe hongera nyingi sana bi faiza foxy. I may disagree with you in some issues or opinions, but i do have a lot of love and respect for you as a sister, mother, friend and good friend through jf.
I've enjoyed reading your straight forward and clear cut answers and opinions in wide array of issues. The fact that you do not mince words, and not afraid to speak your mind, and outspoken says a lot about your no non-sense and tough personality. I bet you could make a good ceo!!
Thank you for your continuing efforts in sharing knowledge and wisdom here at jf. We love you all!!

thank you very much.
 
Back
Top Bottom