=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

FaizaFoxy is a one bad mama jamaa. She is officially my JF favorite person and I am her number one stan. She so reminds me of Mwafrika wa Kike. Happy everything FaizaFoxy. You are the bestest.

Thats the spirit brother... and say that again... and again.

mtm, if u promise this, i will keep this dude for only 30 yrs, and when i get this pearl i will evaluate the next prize b4 i drop him, hahaha!
jokes aside, ff shkamoo auntie! hongera manake kumbe wengi humu wanao eeh... inabidi tuanzishe kale ka-group utupe huu ujuzi,taaluma ya 30th annivessary karibu itakua historia. siku hizi 5 yrs ni ver very big achievement,lol!
Yaani Gaga anahitaji miaka 13 zaidi ili akufikie. Hongera sana. Here is your Pearl.

mtm, if u promise this, i will keep this dude for only 30 yrs, and when i get this pearl i will evaluate the next prize b4 i drop him, hahaha!
jikes aside, ff shkamoo auntie! hongera manake kumbe wengi humu wanao eeh... inabidi tuanzishe kale ka-group utupe huu ujuzi,taaluma ya 30th annivessary karibu itakua historia. siku hizi 5 yrs ni ver very big achievement,lol!

Hio itabidi iwe seriously considered...lol... maana naamini wengi tunataka kufika huko...

Hata usipokua wangu bado una bahati .... bahati mbaya nina mume tayari...

Daah! Sasa nikauelezeje my moyo?

Bahati ya kukukosa si bahati,hope u knw ni gundu.

Bt mungu ataniletea tu,ukiachika nitakuwa tayari ku play your hubby part.

Natanguliza thenx.

nampa hongera sana FF ... namtakia kial la heri katika maisha yake ya ndoa ... enzi za kina FF kulikuwa hakuna mambo ya kitchen party ona ndoa zinavyodumu lakini sikuhizi tuna hadi bag party! BIG UP FF

hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
1477bcd715fe21-Happy-30th-Anniversary.jpg

Daah! Sasa nikauelezeje my moyo?

Bahati ya kukukosa si bahati,hope u knw ni gundu.

Bt mungu ataniletea tu,ukiachika nitakuwa tayari ku play your hubby part.

Natanguliza thenx.

Asante kwa kuniweka katika list of consideration...
nafiri mimi ndio nitoe Asante... Na nakuombea Mungu
awezeshe upate atakae kufaa...

Pamoja Saana
ADI

nampa hongera sana FF ... namtakia kial la heri katika maisha yake ya ndoa ... enzi za kina FF kulikuwa hakuna mambo ya kitchen party ona ndoa zinavyodumu lakini sikuhizi tuna hadi beg party! BIG UP FF

hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
1477bcd715fe21-Happy-30th-Anniversary.jpg

sorry kwa kuingilia thread, ila nini maana ya beg party!??
na ni 'beg' ama 'bag' party?
na ina tofauti gani na bachelor party!??

yep! niliteleza ni "bag party" ... i hope nimesomeka sasa , ntarekebisha! & sijui tofauti yake na bachelor party! but nijuavyo havina maana! vyote!

sorry kwa kuingilia thread, ila nini maana ya beg party!??
na ni 'beg' ama 'bag' party?
na ina tofauti gani na bachelor party!??

yep! niliteleza ni "bag party" ...
i hope nimesomeka sasa , ntarekebisha! & sijui tofauti yake na
bachelor party! but nijuavyo havina maana! vyote! ?

Sijui ndo ile ya uswahilini... ya kusasambura... or else hata mimi am new

Alafu Viper sema tu hizo parties zimechakachuliwa but zilikua na maana saana.

Hongera FF.

Ila jamani, FF ni mgumu kiasi cha hata kushukuru? Manake simuoni ati, au sijapitia posts zote?

Dina huyu FF hua full time hapa JF... leo sijui nini, I really

hope inahusiana na kuboresha ndoa and she will be back....

Faiza, nakupa hongera za dhati kabisa, nimejaribu sana kukupigia simu sijakupata, kwa bahati nzuri "Gozi" lako likanipigia alfajiri ya leo na kunieleza kuwa kakunyang'anya simu yako na kaizima. I wonder why.

Nikikupa pongezi peke yako itakuwa simtendei haki "shemeji" yangu, Gozi lako, nampa pongezi sana kwa kuidumisha ndoa hii kwa miaka hii yote. Najua kakustahamilia sana, au niseme mmestahamiliana? Nawapa pongezi za dhati.

Jamani wana JF, wakati FF ananiita mimi "Anko" huwa anakosea, mimi si "Anko" wake bali ni "cousin" wake kwa mama, yaani ni mtoto wa mama mkubwa na mdogo, ingawa nimemzidi kidogo tu kwa umri (tumecheza pamoja utotoni) lakini amezoea kuniita anko baada ya kuwa tu watu wazima na nephews wamekuwa wengi kiasi cha kusahaulika jina langu na kuwa ni ama "anko" au mjomba kwa wengi wanaonifahamu, inanshangaza kuwa hata "bi mdogo" (mke wangu wa pili) huniita anko.

Nimeongea hayo, kwa kutaka tu kuwafahamisha kuwa FF namjuwa, sana sana tena sana.

FF, kwa anaemjuwa, ni easy going, fun loving, with a big smile always. Anaependa sana ndugu zake na marafiki zake, yupo tayari kuwatetea awajuao hata kama wana makosa, she will never betray you! Ni mwanamke straight forward hatafuni maneno na siku zote husema, "nichukie kwa ukweli wangu, usinipende kwa uongo wangu".

Katika kukua kwetu jijini Dar. FaizaFoxy, mitaa ya kariakoo (ya late 60's na early 70's) ni maarufu sana kiasi anatisha kufatana nae. Umaarufu wake una kuja mara mbili, kwanza kazaliwa, kasoma na kukulia hapo Kariakoo, pili kaolewa na mtu maarufu sana pale Kariakoo na Dar au Tanzania kwa ujumla, kutokana na shughuli zake, ni mtoto wa Kariakoo tuliye kuwa nae pia.

Kwa miaka mingi tulipoteana na FF baada ya yeye kuolewa na kwenda kuishi nje ya Tanzania kwa muda mrefu sana, ukimuuliza mwenyewe kwanini mliamua kukaa nje miaka yote hiyo? mwenyewe hujibu "tulimkimbia" Nyerere na siasa zake za kukandamizana. Lakini najua ni stihizai zake tu, kama kuna mtu alikuwa akimpenda Nyerere tulivyokuwa tunakua basi sijamuona zaidi ya FF. Sijui kwa nini baada ya kurudi Tanzania akawa hapatani na Nyerere.

FF ni mkimya sana na huwa haongei mengi, mimi nashangaa hapa JF kawa ni mmoja wa "wapayukaji" na saa zingine huwa ananikera, lakini naweza kukisia ni kwa nini. Ntamuachia mwenyewe.

Nna mengi ya kuongelea kuhusu FF lakini itakuwa si vyema nikamsemea, pengine mwenyewe hatopenda kusemewa yake.

Hongera Faiza, Hongera G.

Psss. Hiyo nick ya Foxy, alipewa na kakaetu mkubwa (mungu amrehem), toka utotoni na imeshika mpaka leo, ingawa sana ilikuwa kwa kifamilia tu tunayoijua, nashangaa kukuta anaitumia humu JF, muulizeni mwenyewe ina maanisha nini.

Zomba... What an insight on FF.... Thank you.... I feel i know her mo'

And sasa i understand our last VM disagreement imetoka wapi....

Pamoja Saaana.
ADI

Hongera Asha kwa kufikia uzee!!!
Maini hayazeeki lakini!!

Asante Memo... kuna ule msemo wa "Forever Young..."
naamini pamoja na kusema nimezeeka bado i feel young inside...

Back
Top Bottom