Bibi Tina wa Mwananyamala

Bibi Tina wa Mwananyamala

Unaandika haya ukiwa kwako bila kujua Mwananyamala iko wapi na wala bila kujisumbua kufika eneo husika ili kubainisha uongo wangu wa story za kusadikika...

Ndio hawa sawa na kina Prof. Roper & Hegel (Wamagharibi) waliokuwa wanasema Afrika haina mabadiliko, wala haina historia ilihali hawajawahi kukanyaga ardhi ya afrika.

Ni vizuri kupinga kwa ushahidi.
 
Hivi Bro, Inasemekana eti wachawi na vigagula wanakuwa na hela lakini haziwezi kutumika kikawaida zaidi ya kwenye mambo yao?
kumbe idara hii ya sayansi upo mweupe mkuu imekupita kushoto, nakuonaga unatambaga sana kwenye nyuzi zako za JWTZ vs Polisi
 
Mshana niliishi mahali fulani kulikuwa na Mama mmoja alikuwa anasifika kwa uchawi ila alikuwa akifanya biashara ya Makongoro na ndizi,Nilipenda sana mapishi yake yalikuwa matamu sana, mara nyingi nilikuwa mtu wa kwanza au wa pili kununua biashara yake, kila nilipokuwa nanunua kama mtu wa kwanza alikuwa anafurahi sana, na wakati mwingine unipa nyongeza kibao kibao, hii maana yake nini?Sikuwa namwelewa.
Ulikua unalishwa fisi wewe
 
Sijawahi kukutana na mnyakyusa mbishi kama Tina RIP ⚰.... Inasemekana kuna nyumba aliwahi kukaa akasumbua sana.... Kodi halipi na kuhama hataki... Alihama baada ya mwenye nyumba kuamua kuezua bati na ceiling board usawa wa chumba chake
Kweli dada mbishi
 
Mshana sijui kama ni kweli au uongo ila wewe ni mwandishi mzuri sana.
 
Bibi Tina alikuwa ni never miss Kanisani akivaa msalaba mkubwa kama wa nabii Tito na miwani kubwa kama sight mirrors za land rover 110

ni hiviiii
 
Mshana sijui kama ni kweli au uongo ila wewe ni mwandishi mzuri sana.
Ndugu yangu sijaongeza chumvi na kuna mengi sikusimulia kwa mfano niliambiwa nisikubali ndugu mwenye mtoto kunitembelea..... Ikatokea mdogo wangu anayenifuatia akaja kunitembelea yeye na mumewe na mtoto wao... Nakukumbuka bibi alikuja na kumbeba yule mtoto na kumrusharusha huku akimsifia kuwa ni mtoto mzuri... Kesho yake wakati wanarudi mkoani walipata ajali na mtoto akafariki

Kuna wakati choo kilijaa akakataa kata kata tusitumie gari ya kunyonya kinyesi badala yake akodi watu choo kivunjwe kinyesi kitolewe kwa ndoo... Just imagine...!! Tulinukiwa na kinyesi wiki nzima wakati lile zoezi likiendelea huku tukikosa huduma za kujisaidia
 
Back
Top Bottom