Bibi Tina wa Mwananyamala

Bibi Tina wa Mwananyamala

Mshana! Iv dawa mbadala ya kukomesha chuma
Ulete ni nini ? Nyumba nliyohamia toka nimeingia sijawahi kusave hela bank kama ilivyokuwa kawaida yangu, haijalishi nimeingiza kiasi gani. Embu nisaidie nini nifanye kukomesha hilo tatizo.
Safest way ni kuhama tuu.. Usijaribu kujiingiza kwenye huko kwingine... Utajenga madhabahu za giza zitakazokuja kukulemea baadae
 
Kuna dada alinipa story jinsi mchepuko alivyomvuruga kaka yao mpka amemsahau mke na watoto wake. Aliniambia yeye na mama yake wanatafuta mtaalamu wa kupindua dawa za mchepuko nilichoka

Hii imemkuta jirani yangu kule kijijini Mpaka sasa ameikimbia familia
 
Hivi kwanini hukumshauri Tina ajiondokee au kumsaidia huyo Bibi asimudhuru kama uliona ni mchawi na atapata mabaya!?
Sijawahi kukutana na mnyakyusa mbishi kama Tina RIP ⚰.... Inasemekana kuna nyumba aliwahi kukaa akasumbua sana.... Kodi halipi na kuhama hataki... Alihama baada ya mwenye nyumba kuamua kuezua bati na ceiling board usawa wa chumba chake
 
Basi huyo alikuwa bala kweli kweli.. hadi wamtolee bati eeeeeeh
Kibibi ndio akamuweza.. duh!!!
 
Vipi ilikuwaje, ulirogwa nini? Tupe story mkuu, samahani lakini

Kuna siku nilikuwa na kaka yangu huko kijijini, kalala usiku ana nguo, aubuhi kaamka hakuna hata moja. Kaamka uchi kabisa.

Kesho yake tumetoka kuwatembelea ndugu (maana ilikuwa likizo), saa mbili kasoro usiku tukapita mti mkubwa sana wa mninga uko barabarani na hapo kuna nyumba za watu wanapika chakula. Chakushangaza hatua kama mbili tulipopita chini ya huo mti moto ukawaka. Tukataka kukimbia lakini tukasita maana niliwahi kusimuliwa ukikuta mauza uza ya namna hiyo usikimbie kwani unaweza kukesha ukikimbia.

Siku ya nne tukarudi zetu mjini. Hatukuwahi kuwaeleza majirani kule kijijini kuhusu tukio hilo.
 
Duuu!!!!! Kijiji gani hicho!!!
 
Hata wakiwa nazo hawana faida nazo.. Kwakuwa kila wanachotaka wanapata bila kutoa pesa
Niliwahi kusikia kuwa kama mtu anaumwa, sasa ikiwa amekwenda sehemu kutibiwa naskia wachawi huwa wanakwenda na hela nyingi ili kumpa yule witchdoctor ili asimtibu mgonjwa, hivi lina ukweli hili?!
 
Back
Top Bottom