mi kaniacha hoi kuwa alimdaka halafu wakayamaliza, halafu hizo pilikapilika mzee mzima ahami anatengua tu makomboraUchawi kumbe hujaanza leo
-Gongo
Huyu jamaa namuogopa sana hata kujibizana nae humumi kaniacha hoi kuwa alimdaka halafu wakayamaliza, halafu hizo pilikapilika mzee mzima ahami anatengua tu makombora
Ohooo! walishacheza na kiungo chako?Kaka mshana mwananyamala hapafai niliwah kukaa nyumba moja 2002 ile nyumba ilikuwa na vituko balaa kwanza baada ya kuhamia kuna mtu aliniambia nimejiamini ni mpk nimepanga pale halafu unaambiwa yuletam
Kwahiyo ukilala na Janaba unajikinga na uchawi?Janaba haipatani na uchawi
Ngoja nikuroge unipende ndo utaamini uchawi upo au hamna.Najua uchawi upo ila sijawahi kuuamini. Na naupuuza kabisa
Je? CHAPUTA nayo inasababisha Janaba...?Ndio... Ila sasa kama mwanamke mwenyewe ana KIMAVI utaisoma number
walichemka kila wakija wananikuta nipo macho halafu nawaona live yule mama akaanza kunichukiaOhooo! walishacheza na kiungo chako?
Kumbe nikipiga show zangu nikalala bila kuoga nakua salama zaidiJanaba haipatani na uchawi
...Vipi ilikuwaje, ulirogwa nini? Tupe story mkuu, samahani lakiniMkuu Saint Ivuga, Naamini uchawi upo. Yakikukuta utaamini. I experienced such a phenomenon.
Alinishindwa Inna wewe utawezajeNgoja nikuroge unipende ndo utaamini uchawi upo au hamna.