Bibi Tina wa Mwananyamala

Bibi Tina wa Mwananyamala

Bibi alikuwa na watoto watano lakini kila mwaka alikuwa anakufa mmoja... Wa mwisho ni mama Whit alikufa 2012.. Huyu alikuwa anaishi hapo hapo... Bibi Tina alikuwa ni never miss Kanisani akivaa msalaba mkubwa kama wa nabii Tito na miwani kubwa kama sight mirrors za land rover 110
 
Kwahiyo kama mmebeba kabati inabidi muwasubiri.. Halafu wanachofagia hakionekani.. Vyombo vya kutoa dk 20 tulimaliza lisaa kwa kero zao za kufagia visivyoonekana... ,
 
Back
Top Bottom