Bibi Tina wa Mwananyamala

Bibi Tina wa Mwananyamala

JAMANI PENGO LA MUNGA TEHENAN HALIJAZIBIKA.
MUNGA ALITUSAIDIA WENGI TUKAPATA UFAHAMU NA KUJITAMBUA

NATAMANI KAMA VITABU VYAKE VINGETOLEWA TENA TUNGENUNUA KWA AJILI YA WATOTO NA WAJUKUU.
 
Mkuu Mshana jr hapa mtaani wanga wanatusumbua sana nimejaribu kuweka bangi sebuleni na chumbani kwangu dirishani na mlangoni, kupaka kitunguu swaum na mafuta ya mzeituni kwa kitanda changu ila wapi, ni tabu na masumbuko tu.
Je ni utaalamu gani ama vitu gani nichanganye ili wasinisumbue tena?
 
Mmk ukisikia chronic ndio hao
 
Back
Top Bottom