Bibi Tina wa Mwananyamala

Bibi Tina wa Mwananyamala

Halafu tunarudi nyumbani kumalizia na KWICH KWICHI hatare... Huu ndio mstari nilioupenda zaidi.
 
Hatari sana kutoka kwa bibi Tina!!!

Ama kweli, yaliyomo yamo.

Waiting for you Mshana Jr
 
Ungewatia vitasa. Hivi uchawi una faida gani?
Eti mshana jnr kwani wachawi wanafaidika nini na uchawi wao. Kuua watoto wao, kutembea usiku....huwa wanapata nini, na je ni kwa nini huwa hawaachi?
Kuruka na ungo angani umesahau
 
Back
Top Bottom