Bibi Tina wa Mwananyamala

Bibi Tina wa Mwananyamala

Uko Haiti unakwenda kwa mganga na picha ya unaemtaka. Inawekwa kwenye bakuli la maji na maneno yanaanza, unaitwa mpaka unafika sasabunaulizwa shida yako kwake

Ninamda pesa zangu, anaulizwa utazilipa au tukuchukue?
Ninamtaka anioe ni pale pale anatoa jibu kuwa atakuoa

Ninagombania ubunge lakini huyu ndiyo kiwingu unapewa kisu ummalize huku jamaa anakata roho
Hii kali.
 
kwenye hii dunia kunamambo kweli . Na kuna watu wanapitia changamoto nyingi sana
 
Ukipata muda utupe hiyo mifano.
Nilipanga chumba cha mama wa ki Jamaica alikuwa anaweza unga mweuipe mlango I mlango wa ju
Watu wa Carrebean hawafai hata kidogo. Wachawi kupindukia. Uliza watanzania wanaoishi US watakwambia vile hawa watu walivyo. Wanaabudu sana miungu
shost alipata kazi Monday-Friday, walipata mkaka wa kijamaica ku cover weekends.

Yule kaka aliona pay imetulia, alitaka kumuondoa shost pale. Shost alimualika mama yake. Basi kila siku kichwa kilikuwa kinamuuma ana call sick kazini.

Mama aliporudi nyumbani akaenda kwa wataalamu wa anga na satellite, wakamuambia mwisho mtoto wako ataachishwa kazi. Wale wataalamu walifanya combora mjamsika aliacha kazi mwenyewe.
Hao wanao sema uchawi hauvuki bahari wanadanganyana
 
Hahha aisee hatari, mi sijawahi ona kabisa hivi vitu maishani zaidi ya kusikia tu.
Nishawahi kufanya kazi mahali , secretary alikuwa mama mmoja wa kihindi mkorofi sana, yaani tulikuwa tunamnyenyekea kama ye ndo Boss. Kwa ujumla hagusiki, kuna watu kama wa3 hivi walikubaliana wamuendee kwa mtaalamu, walipofika mtaalamu baada ya kupiga tunguli zake aliwajibu, huyu mama muacheni tu maana shughuli yake nzito.... kama 2011 niliondoka ile ofisi ila hadi leo nasikia yule mama yupo, watu wanaondoka wanamuacha, ni rafiki wa maboss wote!
 
Wahindi number mbovu sana
 
Nilipanga chumba cha mama wa ki Jamaica alikuwa anaweza unga mweuipe mlango I mlango wa ju

shost alipata kazi Monday-Friday, walipata mkaka wa kijamaica ku cover weekends.

Yule kaka aliona pay imetulia, alitaka kumuondoa shost pale. Shost alimualika mama yake. Basi kila siku kichwa kilikuwa kinamuuma ana call sick kazini.

Mama aliporudi nyumbani akaenda kwa wataalamu wa anga na satellite, wakamuambia mwisho mtoto wako ataachishwa kazi. Wale wataalamu walifanya combora mjamsika aliacha kazi mwenyewe.
Hao wanao sema uchawi hauvuki bahari wanadanganyana

hatarii
 
Moderator, JamiiForums pls assist kuunganisha hizi part mbili ziwe moja
Mshana niliishi mahali fulani kulikuwa na Mama mmoja alikuwa anasifika kwa uchawi ila alikuwa akifanya biashara ya Makongoro na ndizi,Nilipenda sana mapishi yake yalikuwa matamu sana, mara nyingi nilikuwa mtu wa kwanza au wa pili kununua biashara yake, kila nilipokuwa nanunua kama mtu wa kwanza alikuwa anafurahi sana, na wakati mwingine unipa nyongeza kibao kibao, hii maana yake nini?Sikuwa namwelewa.
 
Wewe ni muongo sana. Ni mtunzi mzuri na unauelewa mpana sana wa mambo. Nakushauri achana na huu utunzi wa kutafuta mashabiki au followers. Tumia vipaji na uelewa wako kuelimisha jamii. Jamii bado inahitaji elimu aliyokuwa anaitoa marehemu Munga Tehenani wa TKmedia. Unao huo uwezo mzee. You are talented and knowledgeable enough.
Nilimfuatilia Maunga lakini Mshana ni zaidi yake, Ni si Muongo kama ulivyomwita, ni moja kati ya watu wakweli sana hapa JF.
 
Nilipogundua ni kweli nilikimwagia mkojo wa janaba na ikawa ndio mwisho wa kukiona pale kile kibakuli

Wa binadamu au mnyama?

Umeendelea wapi? Kwanini usiedit post #1 na kutupa muendelezo au tuandikie umerusha kwa postnamba ngapi.
 
Hahha aisee hatari, mi sijawahi ona kabisa hivi vitu maishani zaidi ya kusikia tu.
Nishawahi kufanya kazi mahali , secretary alikuwa mama mmoja wa kihindi mkorofi sana, yaani tulikuwa tunamnyenyekea kama ye ndo Boss. Kwa ujumla hagusiki, kuna watu kama wa3 hivi walikubaliana wamuendee kwa mtaalamu, walipofika mtaalamu baada ya kupiga tunguli zake aliwajibu, huyu mama muacheni tu maana shughuli yake nzito.... kama 2011 niliondoka ile ofisi ila hadi leo nasikia yule mama yupo, watu wanaondoka wanamuacha, ni rafiki wa maboss wote!
Atakufa amesimama halafu atakufa saa 72
 
Mshana! Iv dawa mbadala ya kukomesha chuma
Ulete ni nini ? Nyumba nliyohamia toka nimeingia sijawahi kusave hela bank kama ilivyokuwa kawaida yangu, haijalishi nimeingiza kiasi gani. Embu nisaidie nini nifanye kukomesha hilo tatizo.
 
Back
Top Bottom