Bibi Tina wa Mwananyamala

Bibi Tina wa Mwananyamala

Hahahaaa mshana umenikumbusha maisha yangu Kibo,.

Siku hiyo nikasema mie mti mkavu auchimbwi dawa
Mama mwenye nyumba na mwanae walinichukia mpaka kesho.

Nilikua nakuta wamechoma mshumaa mlangoni au usiku naona mambo live.
Wakanitimua pale.
Ungewatia vitasa. Hivi uchawi una faida gani?
Eti mshana jnr kwani wachawi wanafaidika nini na uchawi wao. Kuua watoto wao, kutembea usiku....huwa wanapata nini, na je ni kwa nini huwa hawaachi?
 
Halafu nimeelezea kwa kifupi sana kulikuwa na matukio mengi ya kushangaza sana. Kwa mfano chooni... Yeye alikuwa na choo na bafu lake na wapangaji vya kwao... Choo chake na bafu lake ni kufuli 24/7
Vyoo vyote na mabafu vilikuwa kwa juu kidogo yani kwenda huko ilikuwa lazima upande kama ngazi tatu... Siku moja asubuhi nimetoka kuoga namkuta bibi kwenye ngazi na dish la maji kajifunga kanga chini ya matiti kainama anaoga. . yani ilibidi nimsubiri
Yaani mimi ni siku moja tu nduki! Sidhani kama naweza kuvumilia vitimbi vyote hivi!
 
Ungewatia vitasa. Hivi uchawi una faida gani?
Eti mshana jnr kwani wachawi wanafaidika nini na uchawi wao. Kuua watoto wao, kutembea usiku....huwa wanapata nini, na je ni kwa nini huwa hawaachi?
Hawafaidiki na lolote basi tu.. Ni sawa na madawa ya kulevya.. Kutoka ni shida japo mtu anatamani kutoka
 
Ungewatia vitasa. Hivi uchawi una faida gani?
Eti mshana jnr kwani wachawi wanafaidika nini na uchawi wao. Kuua watoto wao, kutembea usiku....huwa wanapata nini, na je ni kwa nini huwa hawaachi?
Nilikua chembamba enzi hizo hata nguvu za kutia mtu vitasa sina.

Ila nikagundua mchawi ukimchana live anakasirika na kuanza kuogopa.
 
Nikamwambia ni sawa ila kesho yake nikamtest kwa kuchoma UDI chumbani kwangu jioni... Hata kabla UDI haujafika nusu aliingia sebuleni mpaka mlango wa chumbani macho yamemtoka pima.. Akasema nyumba yake haichomwi UDI na kama napenda basi yuko tayari kurudisha kodi.....
Baada ya hilo tukio wapangaji wakaniambia tena bibi huwa na tabia ya kuweka kibakuli kidogo cha alminium kwenye dirisha langu chumbani kwa nje kila jioni na kukiondoa kila asubuhi... Nilipogundua ni kweli nilikimwagia mkojo wa janaba na ikawa ndio mwisho wa kukiona pale kile kibakuli
Siku moja usiku wa kuanzia saa tatu pale kwenye kibaraza chake kukawa na maandalizi yasiyoeleweka..
Nilinyanyua panga na kupiga ukutani kibapabapa.. Nilirudia mara tatu kisha nikasikia kimya kabisa..
Naomba kujua ina maana ukichoma UDI mchawi anateseka?..Mkojo wa janaba ndio ule mkojo ukitoka chapa dem ule unaofata au ukichapa usiku usiende oga lala ile asubuhi ndio mkojo huo!?..Mchawi hata Panga anaogopa kumbe!?.
 
Kaka mshana mwananyamala hapafai niliwah kukaa nyumba moja 2002 ile nyumba ilikuwa na vituko balaa kwanza baada ya kuhamia kuna mtu aliniambia nimejiamini ni mpk nimepanga pale halafu unaambiwa yule mama ndio mtaalam mumewe anatumwa tu na siku nahama sikumwambia ila wakati gari imekuja kunihamisha nikiwa ndani aliniambia gari imekuja
bila kusahau kigogo yote wanga watupu
 
Naomba kujua ina maana ukichoma UDI mchawi anateseka?..Mkojo wa janaba ndio ule mkojo ukitoka chapa dem ule unaofata au ukichapa usiku usiende oga lala ile asubuhi ndio mkojo huo!?..Mchawi hata Panga anaogopa kumbe!?.
UDI unaalika nguvu nyingine za kiroho, mchawi hapendi,..., mkojo wa janaba ni uchafu unakinzana na nguvu za kichawi.. Mkojo wa janaba ni ule mkojo baada ya kufanya ngono.... Panga ukilipiga kwa ubapa ukutani linatoa sauti kubwa.. Wao kilichowastua ni sauti
 
Back
Top Bottom