Bibi Tina wa Mwananyamala

Bibi Tina wa Mwananyamala

Umekutana na vodoo? Ila wanachanganya na rosali hapo ndo nachoka.
Kuna dada alinipa story jinsi mchepuko alivyomvuruga kaka yao mpka amemsahau mke na watoto wake. Aliniambia yeye na mama yake wanatafuta mtaalamu wa kupindua dawa za mchepuko nilichoka
 
Hicho kipande chote mpaka Haiti ni noma
Uko Haiti unakwenda kwa mganga na picha ya unaemtaka. Inawekwa kwenye bakuli la maji na maneno yanaanza, unaitwa mpaka unafika sasabunaulizwa shida yako kwake

Ninamda pesa zangu, anaulizwa utazilipa au tukuchukue?
Ninamtaka anioe ni pale pale anatoa jibu kuwa atakuoa

Ninagombania ubunge lakini huyu ndiyo kiwingu unapewa kisu ummalize huku jamaa anakata roho
 
Niliwahi kupanga Temeke, nilipohama ndio nikagundua kuwa yule mama mwenye nyumba nilikuwa nammega kisela, sema alinifanyia michezo nikawa nammega bila mi mwenyewe kujua. Uchawi upo jamani
Ukimwi hautaisha si ajabu alikuwa anamegwa pekupeku
 
Back
Top Bottom