Bibi Tina wa Mwananyamala

Bibi Tina wa Mwananyamala

Naamini upo.
Ila nina uhakika hayawezi kunikuta. Mamabo mengine ukiyaendekeza nayo yatakuandama sana
Ni kweli ukiyaendekeza lakini kuna time unaweza kuwa uko umerelax kabisa, ghafla unakutana nayo. Mpaka uanze kuakumbuka verse za vitabu viTakatifu...
 
Mshana jr unajua nime subscriber fanya mambo malizia hii nyuzi niondoke zangu
 
Hahhaaaa uko wapi rose na sista tedy . ila tuamini sana visakramenti haswa maji ya baraka Jana nilimuamisha mtu wangu wa nguvu ktk nyumba yake
 
Back
Top Bottom