lautery frank
Member
- Oct 12, 2018
- 8
- 3
Duh...kadri siku sivokwenda Nazidi kufunguka zaidi kimtazamo
Tatizo soko#Jaman natafuta ushauri juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji na biashara yake kwa ujumla
Kufanya usafi mara kwa maraWadau naomba msaada wa dawa/mbinu ya kuzuia banda la kuku lisitoe harufu kali.
Pia naomba nijuzwe dawa ya kuua utitiri/viroboto...
Nitangulize shukrani za dhati,karibu mnisaidie mjasiliamali mwenzenu...
Ndui(Marek's)inachanjwa Mara moja Siku ya 1 hartchary pamoja na wiki ya 7Kwa wataalam wa humu nina maswali,Kwanza gumboro baada chanjo mbili za mwanzo kwa vifaranga wa siku 14 na 28 inarudiwa tena baada ya muda gani au hairudiwi tena? kwani kwa kideri baada hiyo chanjo mbili za mwanzo hurudiwa kila baada yamiezi 3 kwanini maisha yao yote.
Pili chanjo ya ndui huchanjwa vifaranga wakifikisha miezi 2 na hurudiwa baada miezi mangapi au hairudiwi tena? Mwisho kama vifaranga viliugua gumboro(hawakupata chanjo) na waliopona wana umri wa miezi 2 niwachanje gumboro au niwaache tu?
Ndui(Marek's)inachanjwa Mara moja Siku ya 1 hartchary pamoja na wiki ya 7
Gumbolo Sikh 10-10,Siku ya 28,
Ndui(fowl pox) na Marek ni magonjwa tofauti. Marek huchanjwa mara moja pale wanapoanguliwa na hairudiwi ila hiyo nyingine tofauti na ya kideri ndio sijui inarudiwa mara baada ya muda gani.Ndui(Marek's)inachanjwa Mara moja Siku ya 1 hartchary pamoja na wiki ya 7
Gumbolo Sikh 10-10,Siku ya 28,