Biashara ya kuku wa kienyeji mwanza

Hamza Mdoe

Member
Joined
May 30, 2016
Posts
27
Reaction score
36
Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au aniunganishe na wanunuzi WA Mwanza mjini ... Asante nawasilisha
 
UPo bunda?
Sawa Mimi nipo mwanza mkuyuni sokoni tuwasiliane dm tufanye biashara
 
Back
Top Bottom