Msemaji wa Tabora United amvaa Jemedari Saidi

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,839
38,730
Msemaji wa timu ya Tabora United FC, Christina Mwagala amemjia juu Mchambuzi wa Soka, Jemedari Said kufuatia kauli aliyoitoa juu ya kinachoendelea kwenye timu hiyo.

"Nafikri wewe kibabu Jemedari Said kuna kitu unakitaka ndani ya klabu yetu ya Tabora UTD muda sio mrefu utakwenda kukipata, Ila kwa kukusaidia kaa mbali kabisa na hii timu.

"Tabora sio sehemu ya kufuga machawa, sasa nakuonya kwa mara nyingine kaa mbali na hiii timu., mimi siongei sana na watu wapumbavu, isipokuwa nakuonya kwa mara nyingine tena kaa mbali na Tabora United FC." ameandika Christina baada ya Jemedari kuandika ujumbe huu (chini).

Aliyoandika Jemedari "Hali kwenye klabu ya Ligi Kuu ya NBC Tabora United FC inazidi kuwa mbaya baada ya Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wake kujiuzulu leo asubuhi. Thabiti Kandoro ameandika barua kwa uongozi wa klabu akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya mazingira ya kufanya kazi kuwa magumu kupita kiasi.

Habari ambazo Bin Kazumari imezipata inasema klabu inakabiliwa na madeni kila kona kutokana na UKATA MKUBWA ambao iko nao. Katika hali isiyo ya kawaida inasemekana klabu hiyo ya Ligi Kuu imeondokewa na sehemu kubwa ya watendaji wake (sekretarieti) kwakuwa hawalipwi hali iliyopelekea kubakia na CEO na Afisa habari pekeyao, hata hivyo habari zaidi zinasema Bi Christina Mhagala MCO vifaa vyake vimezuiwa kwenye lodge moja mjini Tabora kwa kudaiwa pango.

Baadhi ya vifaa kama jezi za klabu zimezuiwa kwenye lodge nyingine ambayo mmiliki wake ni mwanamke naye anaidai klabu, hali iliyopelekea klabu hiyo kucheza mechi zake 3 za mwisho ikiwa imevaa jezi za rangi ya buluu bila kubadilisha kwakuwa zingine zimezuiwa lodge. Katika mechi dhidi ya Coastal Union, Dodoma Jiji na KMC klabu hiyo haikubadili jezi sio kwa kutaka bali jezi nyingine zimezuiwa.

Timu ya U20 ilicheza mechi Bukoba tarehe 24 Machi 2024, ikalazimika kukaa mpaka tarehe 26 ikisubiri pesa ya mafuta, ilipotumwa wakaja mpaka njiani gari ikaisha mafuta wakadandia malori ya mizigo, klabu ya wakubwa wana siku 3 wanaenda mazoezi kwa miguu kwakuwa hakuna gari. Wakati huu wa mapumziko ya ligi wenzao walio katika hatari ya kuteremka daraja wako kambini wao wanahangikia pesa ya kula. Aliyosema kocha Kapunovic yote yalikuwa yana ukweli ndani yake."
 
Huyu Jemedari Said ni mtu ambaye huwezi kumtenganisha na mambo ya umbea.
Ili kuusaidia mpira wetu ufike mbali tunawahitaji watu kama Jemedari wawe wengi zaidi

Kama hiki anachokiripoti kina ukweli maana yake kinaweza kuja kuwa msaada kwa wakubwa ambao walikuwa hawana hizo taarifa.

Maana yake sisi wote tunajua mifumo yetu ya kiutawala ilivyogubikwa na lundo la wapigaji huku sponsors wakiwa hawapati taarifa ya kinachoendelea.

Ni Jemedari huyu huyu aliyefanya Yanga Princess iweze kupata stahiki zake baada ya wachezaji wengi kuweka mgomo kufuatia madai yao.

Inawezekana ilikuuma na kufanya umchukie jamaa kwa kashfa ya Club kutolipa mishahara kuona kama Club yako imechafuliwa.

Lakini huangalii upande wa pili wa ndugu wa hao wachezaji ambao wako nyuma yao kama tegemezi, kuona jinsi ambavyo wanaweza kumuona jamaa kama shujaa kwa kufanya watoto zao wapate stahiki zao.

Hata ile ishu ya timu ya Majimaji kutelekezwa unafikiri bila nguvu ya watu wa media kufikishiwa za chini ya kapeti wasi expose public kilichotokea ni kivipi wangeweza kusaidiwa?

Unakumbuka mpaka Erasto Nyoni anatoa 1M kuwalipia madeni?

Unafikiri zile zilikuwa ni taarifa official zilizotolewa na Clubs au ni whistleblowers?

Unakumbuka ishu ya timu ya vijana ya Taifa? madogo waliivusha Tanzania kwenye hatua ya hadi nusu fainali ambapo walifanya nchi ipate zaidi ya sh. 190M (kama sikosei) halafu TFF ikawarudisha nyumbani na kila mtu akachukua 50,000 hapo ni plus nauli.

Halafu madogo hadi jezi walinyang'anywa.

Baada ya hizo taarifa kumfikia Jemedari na yeye kupost public kila mtu aliwashangaa TFF kwa ukatili wao.

Pengine hata wewe unayemnanga Jemedari ulikuwa ni mmoja wao waliyeshangaa kitendo hicho kilichofanywa na TFF.

Kuna uwezekano watu wa media za michezo wengi ni waoga ambao hawana guts za kufanya hiki anachofanya Jemedari ndio maana wahanga wanapokumbana na changamoto wanamtafuta yeye

Nakuhakikishia mbali na kasoro zake kama binadamu ila huyu jamaa ni msaada sana kwenye soka letu.

Wachezaji kutoka Clubs zingine wanapoona situation kama hiyo iliwahi kutokea sehemu nyingine na ikaja kuwa solved baada ya hizo taarifa kuwa exposed na media.

Na wao wanaona bora wapitie njia hiyo hiyo ili kama kuna wakwamishaji wajulikane na wao wapate stahiki zao.

Unaweza kumchukia Jemedari kwasababu zako binafsi lakini haina maana kwenye hili anakosea.
 
Ndugu yangu Jemedari Said inabidi afahamu kuwa asili ya ulimwengu na uongo na haupendi ukweli.

apunguze kusema ukweli isije yakampata matatizo na afuatilie historia wasema kweli mwisho wao ulikuwaje.
 
Si ndio maana vijana wanaogopa kujiingiza kwenye michezo maana huko hali ni mbaya kama udart
Namsikitika sana kijana mwenzetu Thabit Kandoro wanataka kumchafua kwa kashfa ya kuiba 20ml,heri angebaki Yanga tuu. Nilijiuliza sana hawa Tabora United wamepanda daraja ghafla wakaanza kusajili mapro kutoka nje tena idadi kubwa,sasa issue ya kuwalipa imekuwa kipengele na hata yule kocha wamemtimua baada ya kusema ukweli kuwa wachezaji hawajalipwa posho wala mishahara yao.
 
Msemaji wa timu ya Tabora United FC, Christina Mwagala amemjia juu Mchambuzi wa Soka, Jemedari Said kufuatia kauli aliyoitoa juu ya kinachoendelea kwenye timu hiyo.

"Nafikri wewe kibabu Jemedari Said kuna kitu unakitaka ndani ya klabu yetu ya Tabora UTD muda sio mrefu utakwenda kukipata, Ila kwa kukusaidia kaa mbali kabisa na hii timu.

"Tabora sio sehemu ya kufuga machawa, sasa nakuonya kwa mara nyingine kaa mbali na hiii timu., mimi siongei sana na watu wapumbavu, isipokuwa nakuonya kwa mara nyingine tena kaa mbali na Tabora United FC." ameandika Christina baada ya Jemedari kuandika ujumbe huu (chini).

Aliyoandika Jemedari "Hali kwenye klabu ya Ligi Kuu ya NBC Tabora United FC inazidi kuwa mbaya baada ya Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wake kujiuzulu leo asubuhi. Thabiti Kandoro ameandika barua kwa uongozi wa klabu akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya mazingira ya kufanya kazi kuwa magumu kupita kiasi.

Habari ambazo Bin Kazumari imezipata inasema klabu inakabiliwa na madeni kila kona kutokana na UKATA MKUBWA ambao iko nao. Katika hali isiyo ya kawaida inasemekana klabu hiyo ya Ligi Kuu imeondokewa na sehemu kubwa ya watendaji wake (sekretarieti) kwakuwa hawalipwi hali iliyopelekea kubakia na CEO na Afisa habari pekeyao, hata hivyo habari zaidi zinasema Bi Christina Mhagala MCO vifaa vyake vimezuiwa kwenye lodge moja mjini Tabora kwa kudaiwa pango.

Baadhi ya vifaa kama jezi za klabu zimezuiwa kwenye lodge nyingine ambayo mmiliki wake ni mwanamke naye anaidai klabu, hali iliyopelekea klabu hiyo kucheza mechi zake 3 za mwisho ikiwa imevaa jezi za rangi ya buluu bila kubadilisha kwakuwa zingine zimezuiwa lodge. Katika mechi dhidi ya Coastal Union, Dodoma Jiji na KMC klabu hiyo haikubadili jezi sio kwa kutaka bali jezi nyingine zimezuiwa.

Timu ya U20 ilicheza mechi Bukoba tarehe 24 Machi 2024, ikalazimika kukaa mpaka tarehe 26 ikisubiri pesa ya mafuta, ilipotumwa wakaja mpaka njiani gari ikaisha mafuta wakadandia malori ya mizigo, klabu ya wakubwa wana siku 3 wanaenda mazoezi kwa miguu kwakuwa hakuna gari. Wakati huu wa mapumziko ya ligi wenzao walio katika hatari ya kuteremka daraja wako kambini wao wanahangikia pesa ya kula. Aliyosema kocha Kapunovic yote yalikuwa yana ukweli ndani yake."
Nyie wenyewe ndiyo mnaomuuzia hizi habari kwa maslahi yenu. Sasa unataka kutupoteza maboya. Huenda wewe yeye mwenyewe Mwagala ndiyo kaziiuza habari hizi. Ndiyo anataka kututoa kwenye reli ili tusimhisi kuwa yeye
 
TIimu ikiwa na ukata wa namna hiyo hata kuuza mechi ni rahisi sana TFF wanasemaje kuhusu hilo maana hizi Timu zinapewa pesa na wadhamini inakuaje wakawa na madeni makubwa wakati pesa ya mdhamini walipewa..
 
Msemaji wa timu ya Tabora United FC, Christina Mwagala amemjia juu Mchambuzi wa Soka, Jemedari Said kufuatia kauli aliyoitoa juu ya kinachoendelea kwenye timu hiyo.

"Nafikri wewe kibabu Jemedari Said kuna kitu unakitaka ndani ya klabu yetu ya Tabora UTD muda sio mrefu utakwenda kukipata, Ila kwa kukusaidia kaa mbali kabisa na hii timu.

"Tabora sio sehemu ya kufuga machawa, sasa nakuonya kwa mara nyingine kaa mbali na hiii timu., mimi siongei sana na watu wapumbavu, isipokuwa nakuonya kwa mara nyingine tena kaa mbali na Tabora United FC." ameandika Christina baada ya Jemedari kuandika ujumbe huu (chini).

Aliyoandika Jemedari "Hali kwenye klabu ya Ligi Kuu ya NBC Tabora United FC inazidi kuwa mbaya baada ya Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wake kujiuzulu leo asubuhi. Thabiti Kandoro ameandika barua kwa uongozi wa klabu akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya mazingira ya kufanya kazi kuwa magumu kupita kiasi.

Habari ambazo Bin Kazumari imezipata inasema klabu inakabiliwa na madeni kila kona kutokana na UKATA MKUBWA ambao iko nao. Katika hali isiyo ya kawaida inasemekana klabu hiyo ya Ligi Kuu imeondokewa na sehemu kubwa ya watendaji wake (sekretarieti) kwakuwa hawalipwi hali iliyopelekea kubakia na CEO na Afisa habari pekeyao, hata hivyo habari zaidi zinasema Bi Christina Mhagala MCO vifaa vyake vimezuiwa kwenye lodge moja mjini Tabora kwa kudaiwa pango.

Baadhi ya vifaa kama jezi za klabu zimezuiwa kwenye lodge nyingine ambayo mmiliki wake ni mwanamke naye anaidai klabu, hali iliyopelekea klabu hiyo kucheza mechi zake 3 za mwisho ikiwa imevaa jezi za rangi ya buluu bila kubadilisha kwakuwa zingine zimezuiwa lodge. Katika mechi dhidi ya Coastal Union, Dodoma Jiji na KMC klabu hiyo haikubadili jezi sio kwa kutaka bali jezi nyingine zimezuiwa.

Timu ya U20 ilicheza mechi Bukoba tarehe 24 Machi 2024, ikalazimika kukaa mpaka tarehe 26 ikisubiri pesa ya mafuta, ilipotumwa wakaja mpaka njiani gari ikaisha mafuta wakadandia malori ya mizigo, klabu ya wakubwa wana siku 3 wanaenda mazoezi kwa miguu kwakuwa hakuna gari. Wakati huu wa mapumziko ya ligi wenzao walio katika hatari ya kuteremka daraja wako kambini wao wanahangikia pesa ya kula. Aliyosema kocha Kapunovic yote yalikuwa yana ukweli ndani yake."
haha wacha achambwe
 
Sasa kama ni kweli, kosa la Jemedari ni lipi?

Au kosa ni kusema ukweli, ambao uko wazi na ni kazi yake akiwa kama mwanahabari kuuhabarisha umma.
Kwamba ni kweli kwasababu huyo Jemedari kasema?

Jemedari ni kiazi anayeaminiwa na viazi tu.

Jamaa linapenda ugomvi, mifarakano, jitu zima umbeya, chuki na njaa kaliiii.

Juzi Manula alisema anak gea na media likafurahi kwamba mbivu na mbichi, yaani tayari akilini kwake.linawaza mgogoro.

Alipofungua duka lake hata support tu ya kuppsti hakuna.

Mtu mwenye akili timamu lazima.uogope jitu kama Jemedari.
 
Attachments

  • Screenshot_20240329-065942.png
    Screenshot_20240329-065942.png
    683.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240329-065917.png
    Screenshot_20240329-065917.png
    240.7 KB · Views: 1
Kwamba ni kweli kwasababu huyo Jemedari kasema?

Jemedari ni kiazi anayeaminiwa na viazi tu.

Jamaa linapenda ugomvi, mifarakano, jitu zima umbeya, chuki na njaa kaliiii.

Juzi Manula alisema anak gea na media likafurahi kwamba mbivu na mbichi, yaani tayari akilini kwake.linawaza mgogoro.

Alipofungua duka lake hata support tu ya kuppsti hakuna.

Mtu mwenye akili timamu lazima.uogope jitu kama Jemedari.
Wewe ni Yanga
Kikawaida utopolo hawampendi Jemedari coz mnaongoza kwa madudu na ni watu wa hasira,
Yaani kwa akili yako kabisa Manula afungue duka jemedari asijue, hii nchi ina watu vilaza sana hahahaha
Kwa kukusaidia hiyo ilikua ni kutafuta attention ya social media!!!
Elimu, Elimu, Elimu
 
Back
Top Bottom