Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
609
1,563
Ni aibu na ajabu Kuona mashabiki na viongozi wa Simba eti wanamlaumu Kayoko kawabeba Azam!!? Ni kichekesho Cha mwaka hiki sijawahi ona wapumbavu kama hawa watu!

Simba ndiyo timu iliyochukua point nyingi za kubebwa kwenye ligi kuu kutoka kwa MAREFA kina Tatu Malogo, rejea mechi ya Prison, KMC, Singida na bado rejea ngao ya jamii kule Tanga zile penalty na bado hawa hawa wanakuja hapa kulia Lia kwakuwa walienda na matokeo mfukoni uwanjani wakijua Azam nayo ni Tabora united ya bwana Rage?

Huu ni ujinga wa viwango vya juu,

Unasema ungeifunga Azam refa kawabeba mara ya mwisho umeifunga Azam lini???
Azam ndio timu iliyotengeneza nafasi kibao za kumaliza game licha ya kutokuwa na match fitness Kama wao na bado wameonekana nyanya vipi wangekuwa sawa mnara wa ule wa 5G ungesimama Tena!

Mechi na Tabora united tulisema walishinda mechi kimipango na kocha wa Tabora alithibitisha kwa kutoa kauli tata kwamba""Kuna mambo mengi yalitokea ndani ya masaa 24"" kwenye Ile mechi ya Simba kwa maana iyo waliosoma Cuba tulikuwa tushajua kilichotokea na sterling wake tulikuwa tushamuelewa!

Ivyo mashabiki kupumbazwa kwao na Yale matokeo wakajiona wanayo timu tiyali ya kupata matokeo popote!
Tumeona Jana timu ilivyo uchochoro na Kama wameshindwa kuifunga Azam ambayo ilikuwa down sana kwenye performance kutokana na kukosa ufit watakuja kumfunga mechi ipi labda? Mzunguko wa pili watakuwa wamerudi kwenye ubora wao ni Kama yanga je wataweza?

Kayoko amekuwa kichaka Cha kujifichia wakati wamevuna point 9 za haramu kutoka kwa waamuzi mbona walikuwa kimya wanakenua tu?

Uwezo wenyewe tu wa kumfunga Azam aupo achilia mbali kumlalamikia kayoko unapataje uhalali wa kubwata!

Kunya anye Bata akinya kuku ameharisha? Tukizitooa izo point 9 za dhulma Simba angekuwa nafasi ya ngapi kwenye msimamo?
Acheni ujinga tengenezeni timu ya ushindani na sio chupli chupli vinginevyo mnajimaliza wenyewe bila kujua!
 
Simba Ilitakiwa iwe ya mwisho kulalamika waamuzi, ukiacha Ngao ya Jamii ambayo walipewa na Tatu Malogo, kwenye ligi ya NBC walipata point zaidi ya Saba kutokana na makosa ya waamuzi.
 
Umeongea kama binti mwenye ujauzito wa miezi mitatu full mate kujaa mdomoni hadi ukasahau kutaja team uipendayo ni ipi 😂

Chezea mimba ya mara ya kwanza wewe 😂 😂 😂
 
Leta hoja yako na sio vihoja una uhalali Gani wa kumlalamikia kayoko?
Umefaidika na point ngapi kutoka kwa marefa mbona mliufyata na kukenua tu!
 
Yanga mna wivu,kama nyumba ndogo aiseee,badirikeni
 
Marefa wa bongo mnatakiwa mjifunze kitu, Nyie marefa kupitia makosa yenu ndio mliofanya Simba itwae Ngao ya Jamii na kushika nafasi ya tatu kwenye ligi.

Kama mngelifuata uchezeshaji wa haki Simba ingekua nafasi ya nne .
Leo mwenzenu Kayoko kateleza kwa kosa Moja tu lakini anashambuliwa na Wana Simba Kila upande na kwakujipendekeza kwake alishindwa kumwonyesha kadi nyekundu pa Job wa Simba kwa rafu mbaya (un sports man faul)

Ninacho waomba marefa wote wa ligi ya NBC mnapochezesha mechi za Simba chezeaheni kwa haki bila upendeleo wowote kwa dk zote.

Nina hakika kwa Simba hii kama mkichezesha mechi tatu bila upendeleo lazima idondoshe alama mbili/Tatu.
Zingatieni haki tu, Simba haitoboi na hakutakua na lawama.
 
Umeongea kama binti mwenye ujauzito wa miezi mitatu full mate kujaa mdomoni hadi ukasahau kutaja team uipendayo ni ipi 😂

Chezea mimba ya mara ya kwanza wewe 😂 😂 😂
Kutukana na kumkashfu mwenzako sio ujanja zaidi ya kujidalilisha tu. Mpinge kwa facts, jana mi nimeangalia game. Je refa kakosea wapi mkuu?
 
Marefa wa bongo mnatakiwa mjifunze kitu, Nyie marefa kupitia makosa yenu ndio mliofanya Simba itwae Ngao ya Jamii na kushika nafasi ya tatu kwenye ligi.

Kama mngelifuata uchezeshaji wa haki Simba ingekua nafasi ya nne .
Leo mwenzenu Kayoko kateleza kwa kosa Moja tu lakini anashambuliwa na Wana Simba Kila upande na kwakujipendekeza kwake alishindwa kumwonyesha kadi nyekundu pa Job wa Simba kwa rafu mbaya (un sports man faul)

Ninacho waomba marefa wote wa ligi ya NBC mnapochezesha mechi za Simba chezeaheni kwa haki bila upendeleo wowote kwa dk zote.

Nina hakika kwa Simba hii kama mkichezesha mechi tatu bila upendeleo lazima idondoshe alama mbili/Tatu.
Zingatieni haki tu, Simba haitoboi na hakutakua na lawama.
Jana Kayoko kakosea wapi hadi alaumiwe hivyo?
 
Kabla ya kutema mate jiulize mimba uliyobeba ni halali? Maana mechi tatu ulizocheza zote ni haramu!! Huna uhakika na baba watoto lkn jiangalie vzr mtoto atakuwa copyright ya Kagera Sugar
 
1. Beki mbili ilikua uchochoro
2. Dube kakosa 3 za wazi yeye na kipa
3. Ndio maana huwa wanapigwa kila mechi ( Beki mbovu)
 
Hivi mnapata wapi ujasiri wa kuongelea mechi za simba namna hiyo, anzeni kuongelea kwanza mechi yenu na kagera sugar refa aliyokataa goli lao la halali kabisa, hili hata baadhi ya uto wenzenu walilisema ila kwa vile favor ilikuwa upande wenu mlifurahia
Nyie mnapata wapi ujasiri wa kumlaumu kayoko? Mnajielewa kweli nyie? Tunaiongelea Simba sababu mmeandamana kumlaumu kayoko wakati point 9 mlizobeba mkipewa na waamuzi hao hao Sasa inakuwaje mnajifanya kujitoa ufahamu?
 
Simba wanataka mechi zao zote zichezeshwe na mwamuzi mmoja tu; Tatu Malogo! Ndugu zangu jambo hili haliwezekani.
Mnawaweka walezi wenu akina Karia, na Bodi yenu ya ligi katika wakati mgumu ndugu zangu, kwa sababu tu ya huku kudeka deka kwenu!!
 
Marefa wa bongo mnatakiwa mjifunze kitu, Nyie marefa kupitia makosa yenu ndio mliofanya Simba itwae Ngao ya Jamii na kushika nafasi ya tatu kwenye ligi.

Kama mngelifuata uchezeshaji wa haki Simba ingekua nafasi ya nne .
Leo mwenzenu Kayoko kateleza kwa kosa Moja tu lakini anashambuliwa na Wana Simba Kila upande na kwakujipendekeza kwake alishindwa kumwonyesha kadi nyekundu pa Job wa Simba kwa rafu mbaya (un sports man faul)

Ninacho waomba marefa wote wa ligi ya NBC mnapochezesha mechi za Simba chezeaheni kwa haki bila upendeleo wowote kwa dk zote.

Nina hakika kwa Simba hii kama mkichezesha mechi tatu bila upendeleo lazima idondoshe alama mbili/Tatu.
Zingatieni haki tu, Simba haitoboi na hakutakua na lawama.
Mwathirika anapomshauri mgonjwa wa kichwa...
 
Back
Top Bottom