India: Bwana Harusi auawa baada ya kulipukiwa na Zawadi ya Bomu kutoka kwa Ex wa Mkewe

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Kwa nini watu hawapendi kuachika jamani? Ukiachwa achika, mbna kutiana mikosi kwa zawadi za kishingo upande kama hizi

Mimi ndo maana sipendagi urafiki na maex zangu, unajua mtu yuko matured kumbe anasuka mpango wa malipizi

Achikeni bana!! Yaani mtu anakulazimisha kukuoa Mke wa Pili, huu ni uonevu

Habari kamili hiyo hapo




Polisi katika jimbo la #Chhattisgarh wanamshikilia Sarju Markam (33) baada ya Redio aliyompa Ex wake siku ya Harusi kulipuka mara baada ya kuwashwa na kuwauwa Bwana Harusi, Hemendra Merawi na Kaka yake, huku Wanafamilia Wanne wakijeruhiwa

Kulingana na ripoti Mtuhumiwa ambaye ni Baba wa Watoto wawili alikuwa kwenye uhusiano na Mwanamke huyo na alitamani awe Mke wake wa Pili

Inaelezwa kuwa hapo awali Markam alimdanganya Mwanamke huyo kwamba hakuwa ameoa na baada ya kutambua ukweli, alikataa kuolewa naye. Lakini aliendelea kumlazimisha kumuoa hivyo hakupendezwa na kitendo cha kuolewa na Mwanaume mwingine

........

Police in India's Chhattisgarh state are investigating an incident in which a newlywed man and his brother were killed when a home theater they received as a gift exploded.

According to reports, the music system was allegedly given to the couple by the bride's ex-lover, who was apparently furious that his former flame was getting married.

Hemendra Merawi died on Monday in his Kabirdham district home as soon as he turned on the music system. His elder brother, Rajkumar, died as a result of his injuries.

Four other family members, including an 18-month-old child, were injured and taken to a nearby hospital for treatment.

The blast was so powerful that it reportedly brought down the house's roof and walls.

Shortly after the incident, the suspect, Sarju Markam, 33, was apprehended in the neighboring state of Madhya Pradesh.

According to Indian newspapers, the suspect, a father of two, was in a relationship with the 29-year-old woman and desired her to be his second wife.

"Markam had initially lied to Merawi’s wife that he was not married. After she realised the truth, she refused to marry him. But he kept threatening her to marry him,” the police said in a statement.

During the wedding, the suspect is said to have placed the music system on a platform alongside other gifts.

He would later confess to the police that he has rigged the gift with explosives targetting his ex-lover and her man.

Chanzo: Citizen Digital
 
Duhhhhh.....
Nimekumkumbuka X aliye legeza nuts za tairi za gari aliokua anajua nimepanga kusafiri nayo asubuhu kutoka mkoa flani kwenda Dar.
Ila Mungu ni mwema sikupata jeraha lolote kwenye ajali ile.
Alafu wakuu, ebu comments ziwe fupifupi ili kuokoa muda....😊
 
India kwa mila zao Mwanaume ndio huolewa na kulipiwa mahari

Wahindinwanaume huolewa

Huyo mwanaume kwa India bibi

Wivu wa kukataliwa kuolewa ndio umesababisha

Sinema zote za kihindi ukiangalia zote huonyesha women superiority

Mwanaume mbele ya mwanamke si lolote

Kwa makabila mengi ya Tanzania sinema za kihindi hupotosha maadili ya mtoto.wa kike akiiga anayoona sinema za kihindi mume anaruka kama njiwa anamwacha
 
Duhhhhh.....
Nimekumkumbuka X aliye legeza nuts za tairi za gari aliokua anajua nimepanga kusafiri nayo asubuhu kutoka mkoa flani kwenda Dar.
Ila Mungu ni mwema sikupata jeraha lolote kwenye ajali ile.
Alafu wakuu, ebu comments ziwe fupifupi ili kuokoa muda....😊
Ulienda Kushtaki Wapi? ili wafanye Uchunguzi?
Lakini Pia Unaenda Gari Nati zimelegea Husikii likilia Ngurunguru?
au unaokota watu?
 
Back
Top Bottom