Bhagdad ft Roma ft Snura "k ni k"

Bhagdad ft Roma ft Snura "k ni k"

Manfongo atawapata wengi sana kwa staili hii...nimesikia biti tuu nikakosa hamu ya kuendelea kusikiliza,ndo unahusu nini vile jamani
 
Napata shida sana kufikilia wasanii wasi siku hizi wanatumiaa kiuongo ganii kwa ajiri ya kifikilia na kutungioo nyimboo SASA K ndooo nini msanii lete maudhuii bwanaa .zamani ....unasikia "wakatii wa ujana wangu mimi baba yenu ...shatii sh.3 unavaaa ..."watu walikuwa wanafikiliaa hizo hizoo
 
bangi + stress za kuogopa kuichana serikali
 
Manfongo atawapata wengi sana kwa staili hii...nimesikia biti tuu nikakosa hamu ya kuendelea kusikiliza,ndo unahusu nini vile jamani
K ni K
hivi kuna maraisi k eeeh
eeh hata katiba k
kwahio
kikwete k
kenyatta k
kagame k
hata kambarage k
 
Darasa ataendelea kuwakimbiza kwa nyimbo hizo za kishwain ...mtandikieni jamvi tu apite
 
sasa Roma sio raiya wa nchi zote duniani bali ni raiya wa Tanzania.

Je Mziki wa Tanzania unaufahamu??
raiya=raia
kwahio leo ukimuona Rose muhando kageukia kisingeli utachekelea tu kwa vile ni muziki wa Tanzania?
 
raiya=raia
kwahio leo ukimuona Rose muhando kageukia kisingeli utachekelea tu kwa vile ni muziki wa Tanzania?

yes nitampongeza na nitafurahi sana kama nyie mlivyofurahi baada ya Walter Chilambo kuacha bongo flavor na kuingia kwenye gospel.
 
k ni k

katika k .

ingia kati kama una k
sasambua kama una k
nasubiria kuona wanaume wakisasambua k

anamaana gani labda subiri watu wafasihi watadadavua..

Hivi k ina maana kile kitumbua sio? Hawa wanalazimisha kiki tu
 
Back
Top Bottom