Bhagdad ft Roma ft Snura "k ni k"

Bhagdad ft Roma ft Snura "k ni k"

k ni k

katika k .


ingia kati kama una k
sasambua kama una k
nasubiria kuona wanaume wakisasambua k

anamaana gani labda subiri watu wafasihi watadadavua..
hahaha hakuna mwanaume mwenye k japo kuna wanaume k
 
yes nitampongeza na nitafurahi sana kama nyie mlivyofurahi baada ya Walter Chilambo kuacha bongo flavor na kuingia kwenye gospel.
mjinga kufanya kitu cha kijanja ni bora kuliko mjanja kufanya kitu cha kijinga
 
Nani kapitia JKT kama mimi....
Kuna chenja flani inaitwa K ni K

"K ni K we...kondom salama kondom...ah tutumie we...kondom salama kondom....K kubwa we...kondom salama kondom....K ndogo we...kondom salama kondom...

Ahahah nyimbo za JKT 80% zilikuwa za aina hii. zile tulikuwa tunaimba tukiwa porini, tukiingia tu eneo la watu/raia tunaweka changer tunaimba zenye maadili...
 
Ahahah nyimbo za JKT 80% zilikuwa za aina hii. zile tulikuwa tunaimba tukiwa porini, tukiingia tu eneo la watu/raia tunaweka changer tunaimba zenye maadili...
[emoji23][emoji23]wazi afandreeee
 
Back
Top Bottom