Bhagdad ft Roma ft Snura "k ni k"

Bhagdad ft Roma ft Snura "k ni k"

Mkuu si kila Mtu anaweza kuwa mwanasheria au daktari. Muziki ni taaluma pia mbali na kuwa sehemu ya sanaa.
Natambua kila Mtu anapenda kubadika. Ila aina ya Mabadiliko ndio hoja ya msingi.
Najua hata NAS na Jay Z waliisha badilika, ila sijawahi kusikia wamebadilika mpaka kutoka nje ya misingi ya aina ya Muziki wanaoufanya.
Mbaya zaidi ni aina ya mashabiki waliopo hapa nyumbani, kukutafuna na kukutema kama bazooka ni dk mbili tu.
Mtu yupo radhi apoteze mashabiki wake wa ukweli aliokuwanao muda mrefu, vile kasikia flani ametoka na single flani akasepa na kijiji chote cha mashabiki.

Mbona wakina Mzee King Kiki mpaka leo wameamini katika aina ya muziki wanaoufanya na bado wanamashabiki wao wa toka kitambo. Na heshima ya muziki wao ipo pale pale. Au wenyewe hawayajui hayo mabadiliko??
Hakuna Watu Ambao Huwa Nawaona Wapumbavu Kama Watu Wanaobishana Kuhusu Nani Anafanya Hip Hop - Akili Za Kijinga
 
Msaga sumu na man fiongo, naona wanazidi kuwaamisha wasanii wa bongo.
Mafanikio ya haraka daima huwa hayadumu.
Ngoja atafute nanachokitafuta huko kwenye singeli, atakipita.
Natahidi kuwaza sijui kuna siku NAS au Jay Z watakuja kuimba blues.....?
Ngoja soko la hip hop likifa US ndiyo utajua
 
Roma mpaka kaimba na Snura gemu ngumu nakumbuka aliojiwa na EATV lini atatoa ngoma na shishi baby alikasilika sana na kutoka studio soko lilimuacha nn
 
Roma mpaka kaimba na Snura gemu ngumu nakumbuka aliojiwa na EATV lini atatoa ngoma na shishi baby alikasilika sana na kutoka studio soko lilimuacha nn

kwani snura sio binadamu??

mbona mnapenda kuwaamishia watu mawazo yenu?
 
huu wimbo hauna tofauti na chura aisee..
bangi mbaya sana inaonekana kuna lines walizifikiria wakazipiga chini..

kukojoa k
na k*nya k pia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Soon utapigwa ban coz amesema hata Kagaa..me K
 
Roma mpaka kaimba na Snura gemu ngumu nakumbuka aliojiwa na EATV lini atatoa ngoma na shishi baby alikasilika sana na kutoka studio soko lilimuacha nn
nasubiri kollabo yake na man fongo soon
 
k ni k

katika k .


ingia kati kama una k
sasambua kama una k
nasubiria kuona wanaume wakisasambua k

anamaana gani labda subiri watu wafasihi watadadavua..
 
Back
Top Bottom