Bhagdad ft Roma ft Snura "k ni k"

Baada ya kuusikiliza huu wimbo sijagundua tatizo la Roma na wenzie ni nini. Dhima ya fasihi ni kuelimisha na kuburudisha. Kwa hiyo nyimbo inaweza ikafanya hayo yote mawili au mojawapo. Hapa Roma na wenzie wameamua kuburudisha. "Mashabiki wa nyimbo hizi wanapenda Zaidi kucheza melody bila kujali mtu kaimba nini".

Hapo Roma na wenzie wametumia ubunifu kwani wamewafanya mashabiki wa nyibo za aina hiyo wanaopenda kucheza ile melody tu pia wapende na kusikiliza kilichoimbwa.

Muziki siku izi ni biashara na ili biashara yako ya mziki iwe poa ni lazima uteke tension za watu. Kwa hilo Roma kafanikiwa kwa % nyingin na ushahidi ndio huu hata hapa tunazungumzia sana nyimbo hii. Ukifanya utafiti mdogo tu huko uswahilini ambako ndio kuna waudhuliaji wengi wa matamasha ya kina Roma utajionea ni jinsi gani wimbo huu umewakamata.

Mwisho hii itamfanya Roma watu wawe na hamu na nyimbo yake ijayo, so inaweza kuwa strategy nzuri ya kuwastua watu kwamba atafungua mwaka na chuma kikali.

Huu ni mtazamo wangu binafsi kuhusu nyimbo hii na navyohisi dhamira ya Roma kutoa aina hii ya nyimbo.
 
Hata kikwete k
Kagame k
Kova eeeh kamanda k

Roma bhana hizi nyimbo za jeshini kaanza kuimba uraiani
 
WE NI KATI YA WATU WALIO ONGEA POINT HUMU, SIO KILA WIMBO NI WA KUELIMISHA, NYINGINE NI BURUDANI, NA HATA ZIKITOLEWA HIZO MNAZO SEMA ZINA ELIMISHA HAMUELIMISHIKI NI UNAFIKI TU UNAWASUMBUA.
 
Back
Top Bottom