Bhagdad ft Roma ft Snura "k ni k"

Bhagdad ft Roma ft Snura "k ni k"

Nani kapitia JKT kama mimi....
Kuna chenja flani inaitwa K ni K

"K ni K we...kondom salama kondom...ah tutumie we...kondom salama kondom....K kubwa we...kondom salama kondom....K ndogo we...kondom salama kondom...
hii idea itakua alisikia hilo chenja ndo ikamjia
 
Naona ROMA anapotea taratibu, mithili ya mshumaa uteketeavyo katikatikati ya moto.
 
bonge la track honestly
huu wimbo hauna tofauti na chura aisee..
bangi mbaya sana inaonekana kuna lines walizifikiria wakazipiga chini..

kukojoa k
na k*nya k pia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
imekaa kama kisingeli,inachezeka ila ujumbe 0
Msaga sumu na man fiongo, naona wanazidi kuwaamisha wasanii wa bongo.
Mafanikio ya haraka daima huwa hayadumu.
Ngoja atafute nanachokitafuta huko kwenye singeli, atakipita.
Natahidi kuwaza sijui kuna siku NAS au Jay Z watakuja kuimba blues.....?
 
Back
Top Bottom