alizoea kuimba siasa tokea viva roma kakimbia siasa akipotea itamchukua muda kurudi
Darasa unaemsifia anafata culture ya hiphop?mkuu hip hop ni culture anachokifanya roma ni kusaliti utamaduni ni sawa na rasta man kula nyama
mkuu hip hop ni culture anachokifanya roma ni kusaliti utamaduni ni sawa na rasta man kula nyama
Mkuu si kila Mtu anaweza kuwa mwanasheria au daktari. Muziki ni taaluma pia mbali na kuwa sehemu ya sanaa.kwanini mnakua negative sana?
mnataka mtu akomae sehemu moja tu amekua mti??
mkuu hip hop ni culture anachokifanya roma ni kusaliti utamaduni ni sawa na rasta man kula nyama
we pia ni KWenye K piteni mbele.
Mkuu si kila Mtu anaweza kuwa mwanasheria au daktari. Muziki ni taaluma pia mbali na kuwa sehemu ya sanaa.
Natambua kila Mtu anapenda kubadika. Ila aina ya Mabadiliko ndio hoja ya msingi.
Najua hata NAS na Jay Z waliisha badilika, ila sijawahi kusikia wamebadilika mpaka kutoka nje ya misingi ya aina ya Muziki wanaoufanya.
Mbaya zaidi ni aina ya mashabiki waliopo hapa nyumbani, kukutafuna na kukutema kama bazooka ni dk mbili tu.
Mtu yupo radhi apoteze mashabiki wake wa ukweli aliokuwanao muda mrefu, vile kasikia flani ametoka na single flani akasepa na kijiji chote cha mashabiki.
Mbona wakina Mzee King Kiki mpaka leo wameamini katika aina ya muziki wanaoufanya na bado wanamashabiki wao wa toka kitambo. Na heshima ya muziki wao ipo pale pale. Au wenyewe hawayajui hayo mabadiliko??
we pia ni K
"amekula lakini hajashiba " ila roma ndie aliyeshiba kumbuka huo wimbo ameshirikishwa kama unasikiliza humo ndani flow zake zinasikika ila zinabebwa na bititokea sikati tamaa,nishike mkono...darasa amebadilika lakini sio kama alivyobadilika roma
we aliyekuambia hiyo nyimbo ya Roma ni nani?Naona ROMA anapotea taratibu, mithili ya mshumaa uteketeavyo katikatikati ya moto.
yote hii ni sababu ya kisingeli"amekula lakini hajashiba " ila roma ndie aliyeshiba kumbuka huo wimbo ameshirikishwa kama unasikiliza humo ndani flow zake zinasikika ila zinabebwa na biti
Je prof. Jay nae hafati culture za hip hop ?
Wacha wazifate hela huko huko juu