Beware: Tapeli Tapeli

Beware: Tapeli Tapeli

Hapa nilichojifunza ni ugomvi tu uliopo kati ya mleta mada na huyo jamaa. Jamaa kamega tunda kaona sio dili dada anakuja kasi jamiiforum. Hii haina tofauti na yule aliyeuwawa SAUTI Mwanza kwa kupigiwa yowe baada ya kumfuma girlfriend wake akiwa na sms za jamaa. Mimi tasubiri kwanza huenda jamaa akaja kujibu. Hadi kakuvisha pete na mapenzi yetu ya kuiga umagharibi maana yake ashatembea sana na wewe dada. Mimi simo
 
Hawa wamemwagana tu kwa hasira mmoja kwa kuwa ana access na social media anakuja kumchafua,suppose na yeye aanzishe uzi akidai mambo mabaya juu yako nani tumwamini kati yenu?
Wewe ndo umeongea kila kitu. Kama hakutaperiwa kimapenzi ama pesa sifikirii kama angekuja hapa
 
Wee ni muongo muongo....huko mwanzo ulisema alikuvisha pete huku mbele unasema hukukubaliana. Kaa kimya unajifunua ulivyo muongo.
1456780375167.jpg
1456780375167.jpg
 
Pete nilivishwa ndani ya wiki moja ya mahusiano ambayo sikuyaelewa maana kumbe tatizo lilikuwa apate njia ya kula hela. Alianza kuomba hela (mfano nataka nilipe Ada ya Dogo ila atm nimeshau home nikopeshe tukirudi nitairudisha, mama anataka hela akalipie kitu flani ila sina hapa nilipie nitakupa kesho). ubahili wangu ndio ulioniokoa
Huwezi vishwa pete bila kuliwa

Pole kwa kuliwa na kutapeliwa
 
Duh poleni sana mliokutwa na mkasa wa Huyu jamaa. Nikiri alikuwa rafiki yangu mkubwa sana tukapotezana alivyoenda rashia bahati nzuri kwangu alivyo rudi (around 2011) aliwaliza washikaji wa karibu yangu ambao wote tulikuwa kundi moja ndio habari nikazipata. From there nikasikia alibuni mtindo wa kuripoti vyuoni as new student aisee aliwaliza vibaya mno na Kama hadi Leo anaendeleza game Ina maana amekusanya vya kutosha.
 
hahahahaha jamani thread inahusu TAPELI lakini naona topic imebadilika imekuwa KATOA AMA HAKUTOA TUNDA ?
 
Duh kumbe jamaa kakubuhu kuliza watu???
 
hahahahaha jamani thread inahusu TAPELI lakini naona topic imebadilika imekuwa KATOA AMA HAKUTOA TUNDA ?
demu machepele, ndani ya wiki mtu anataka kumvika pete naye anajisogeza. lazima amepigwa hela au k, vinginevyo asingekuja kulia lia hapa.
 
kwa wanawake anatumia gia ya ndoa ili kuwaingia kirahisi (alishajiandaa kuniibia alinivika Pete fake ila kwa bahati nzuri hela yangu huwa haitoki kirahisi Hivyo hakuniibia hadi pale nilipotahadharishwa na rafiki aliyetapeliwa naye).
.
Alikula mzigo?
 
Back
Top Bottom