ZaBeast
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 777
- 332
Asee kama sio kulinda heshima ya watu ningekutajia waliotapeliwa kwa majina yao.
Preta nimeweka hapa ili kukuepusha na utapeli. kwa bahati mbaya au nzuri ni mke wa mtu sasa. Hayo ni ya 2013 nimeweka hapa kwa kuwa bado anaendelea na utapeli.
Usijudge kama huna uhakika na hisia zako. Nilijua uko grown kumbe holaa
Mie siyo Preta alafu nimejaribu kuangalia pande zote mbili sija judge mie mwenyewe kama binadamu nina amini sina immunity na mambo yanayowatokea wenzanu so I can't judge and I don't judge get me right lady