Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,548
Hili ni swali mkuu? Habari ilivyoandikwa inajielezaKabla hajaamua kukuvika pete, ulishampa lile tunda?
Hili ni swali mkuu? Habari ilivyoandikwa inajielezaKabla hajaamua kukuvika pete, ulishampa lile tunda?
Katafunwa huyu. Ana uchungu wa kutafunwa kwa pete ya elfu 10 ya kuchonga kwa sonara. Awe mpole tu hata alie vipi haibadilishi chochote.Duh......sasa kama ni ya tokea 2013......si unge mind your own business......miaka 3 imepita bado unamfuatilia......hiyo ndio inazidi kutupa wasiwasi zaidi......
Wee ni muongo muongo....huko mwanzo ulisema alikuvisha pete huku mbele unasema hukukubaliana. Kaa kimya unajifunua ulivyo muongo.nyani niliandika mahusiani ambayo sikuyaelwa. Kwamba kuvishwa pete kwa muda huo Sikukubaliana nayo ndio maana sikuyaelewa. pia sijasema kama nilikubali kuvaa.
Niko busy kaka. Badae nitajibu nikipata muda.
....vichwa havisomi Hedaru wewe!..alikuwa mwenye chongo miongoni mwa vipofu!hata mimi ninashangaa. taifa limepoteza kichwa cha maana maana hata baba yake ni mtu wa kutegemewa (sijui kama bado yuko hai). Top 3 ya darasa kwa olevel alikuwa hakosi. high school ndio alipata marks mbaya (div 3 mbaya hadi kuamua kwenda russia).
unasema baba yake alikuwa mtu wa maana asije kuwa mtoto wa Kitilya yule aliyekuwa boss wa TRA ambaye juzijuzi alihusika kuiibia serikali kupitia udalali wa stanibic benki kama ni huyo wizi utakuwa ni wa kurithihata mimi ninashangaa. taifa limepoteza kichwa cha maana maana hata baba yake ni mtu wa kutegemewa (sijui kama bado yuko hai). Top 3 ya darasa kwa olevel alikuwa hakosi. high school ndio alipata marks mbaya (div 3 mbaya hadi kuamua kwenda russia).
Hebu tuambie ulimpendea nini huyu lofa hadi ukampaNi huyu hapa
Nikiangalia avata yako nashawishika niende mndenyiMagufuli alikataa kusafiri...... Huyo kaenda Russia..... Laana hiyo
....hahahahahahaha...hiloooooooooooo!!!.,watu wabaya sana....wamekupa za uso hadi umekimbia blalfuu!Search
soyuz alumn ndipo mutaona kama shida ni mimi au yeye. Mtoto akililia wembe anapewa. ukija kumukata ndipo atakuja kujua kama unakataa au haukati. Kwaherini.
Hahahaha,preta kwa uchokozi aiseeeNa hapo ni chumbani kwenu au .....?...
Lakini wewe mwenyewe katika uzi wako umeandika kwamba alikuvisha Pete. Ujue JF ni home of great thinkers. Great analysers. Watu wanasoma mada na kuichambua. Unafahamu hilo?Nenda facebook kisha angalia group ya wanafunzi walisoma Russia ndipo utaona ushuhuda wa watu mbalimbali waliotapeliwa. Ninamuogopa Mungu ambae wewe humiamini siwezi kumsimgizia mtu. Kwaheri.
Samahani lakiniHapo ni Russia kwenye student room ( picha imewekwa facebook kwa kumbukumbu). wewe room yangu haiwezi kuwa huo uchochoro
Swali la maana sana dada tufungukie katika hili.Kabla hajaamua kukuvika pete, ulishampa lile tunda?