Beware: Tapeli Tapeli

Beware: Tapeli Tapeli

Wewe unampenda sana huyo jamaa umetunza picha yake mliokua pamoja miaka iyo unaileta hapa tujadili leo..ila cha msingi usitoe ovyo bwana kisa kutaka kuolewa utapata magonjwa na wataondoka na hela..wewe jitunze tuu waaminifu pia wapo..huyo sio tapeli atamtapeli nani bwana..
 
Yule shida yake ni hela. Hana shida na tunDa. Anakuja kama mtu mwema anayefwata maadili.
Kifupi hakuonja tunda.
Me sina hiyo kutamani waliosoma nje maana hata mimi nimesoma nchi zinazoeleweka (UK)
Ni Siri ya ndani ila tunda lazima alilifaidi. Lakini KWA lady anayejitambua lazima useme hakuona ndani.
 
Huyo jamaa mbona anaonekana mporipori....unawezaje kumpa hela mporipori kama huyo
Wewe unadhani mabinti waliosoma Na hasa masupastaa wa JF waume zao ni akinanani? Ni sie waporipori tu. Ndo maana comments zao dhidi ya wanaume ni mbofumbofu tu. Hii ndiyo raha zetu tunaotunzwa na akinamama ila sticks zake usiombe
 
mwambie huyo kaka tapeli aje nimfundishe kufuga mbuzi, sio anakaa anawatafuneni mapapuchi yenu na kuwaumiza mioyo na kwa revenge mnamzushia utapeli
Haaa haaa haaa...asee wewe
 
Jamaa kapiga kipara kasepa dada lazima ampakazie
 
Watu mnang'ag'ania alikula tunda tunda badala muulize maswali yenye tija!....asa ngoja nimjibie msimsumbue mtoto wa watu...eeh mporipori alikula tundaaa...mmeridhika? Ila mjue ni tapeli!
 
Wewe tena....sherehe takufanyia serena hotel, get ready!
Halafu usisahau, mi sio mtoto wa kupandishwa kwenye baby walker, mi mlugaluga kama kaka tapeli, usinitafutie pampas, nitafutie nepi na visepe vya kanga, sibebwi kwenye vitoroli nabebwa mgongoni na mbeleko juu
 
Back
Top Bottom