Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Pete nilivishwa ndani ya wiki moja ya mahusiano
Shosti......hukuona huo ni msala wa karne.....?.....na ukanyoosha kabisa mkono akuvike hiyo pete......?....
Pete nilivishwa ndani ya wiki moja ya mahusiano
Pete nilivishwa ndani ya wiki moja ya mahusiano ambayo sikuyaelewa maana kumbe tatizo lilikuwa apate njia ya kula hela. Alianza kuomba hela (mfano nataka nilipe Ada ya Dogo ila atm nimeshau home nikopeshe tukirudi nitairudisha, mama anataka hela akalipie kitu flani ila sina hapa nilipie nitakupa kesho). ubahili wangu ndio ulioniokoa
Shosti......hukuona huo ni msala wa karne.....?.....na ukanyoosha kabisa mkono akuvike hiyo pete......?....
Ni school mate wangu wa olevel. So tulijuana sana kabla ya hapoNgoja kwanza...wewe hukushtuka ulipovishwa hiyo pete ndani ya wiki moja?
Hapo tayari mbona kulikuwa na dalili za kutapeliwa!
Nani humvisha pete mtu ndani ya wiki moja?
Shangaa na wewe....yaani ndani ya wiki moja na mtu anakubali kuivaa hiyo pete?
That's a head scratcher!!!
Naomba nikuulize swali!!Pete nilivishwa ndani ya wiki moja ya mahusiano ambayo sikuyaelewa maana kumbe tatizo lilikuwa apate njia ya kula hela. Alianza kuomba hela (mfano nataka nilipe Ada ya Dogo ila atm nimeshau home nikopeshe tukirudi nitairudisha, mama anataka hela akalipie kitu flani ila sina hapa nilipie nitakupa kesho). ubahili wangu ndio ulioniokoa
Acha dharau we mpare.Hapo ni Russia kwenye student room ( picha imewekwa facebook kwa kumbukumbu). wewe room yangu haiwezi kuwa huo uchochoro
Asee kama sio kulinda heshima ya watu ningekutajia waliotapeliwa kwa majina yao.Duh asante kwa Taarifa lakini naomba niwe na mtazamo toafuti kidogo..
Kama nyie wawili mmepitia mahusiano then the two of you mna story ambayo kama ni lazima kuipa uzito zaidi alert yako basi na yeye ataoe version yake ya story ....
Maana hadi kufikia stage ya kukuvisha pete si kitu ndogo..
Otherwise pole saana kwa uliyo yapitia mshukuru Mungu kwamba hauna commitments yoyote nayeye
Kuwa makini usiingie tena huko.. kipimo cha utu ni kazi kubwa mara nyingi inahitaji muda mrefu kuwa na uhakika zaidi pia zingatia basics zoote muhimu..
Mfahamu in and out na wanaomzunguka etc etc
Kila la heri
Lazma atakuwa alishampa lile tunda alafu akajua huyo ndo mme wa kumuoa mtu kasoma rashia,kajua kapata kumbe sio,
Ata km ni skul met wako sio kujirahisisha kiivyo ukamruhusu mtu akuvishe Pete kwenye mahusiano ya wiki moja kiufupi dada yangu kwenye hilo la kuvishwa Pete ulichemkaNi school mate wangu wa olevel. So tulijuana sana kabla ya hapo
itakuwa anashida ya ndoa huyoShangaa na wewe....yaani ndani ya wiki moja na mtu anakubali kuivaa hiyo pete?
That's a head scratcher!!!
Hawa wamemwagana tu kwa hasira mmoja kwa kuwa ana access na social media anakuja kumchafua,suppose na yeye aanzishe uzi akidai mambo mabaya juu yako nani tumwamini kati yenu?
May beAta km ni skul met wako sio kujirahisisha kiivyo ukamruhusu mtu akuvishe Pete kwenye mahusiano ya wiki moja kiufupi dada yangu kwenye hilo la kuvishwa Pete ulichemka
Ni school mate wangu wa olevel. So tulijuana sana kabla ya hapo