shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
wanawake wengi walio na akili za darasan wakiingia makazini tu wanakuwa wajinga wajinga sana...
wanaliwa sana hela zao na wajanja wa mjini kwa kujifanya wanawataka au kuwatangazia ndoa..
wadada wapo radhi kufanya chochote mradi ndoa isife