Best PC games

Nauza Nvidia gtx 760 2GB RAM mpya ni za desktop, unaweza cheza games nyingi za sasa in maximum settings, bei ni 260,000/= anayehitaji anione inbox. Pia kama unataka tofauti na hiyo au unahitaji computer parts for gaming PC kama Processor n.k unaweza ni PM.

Specifications:
1. Model: GTX760
2. GPU: GK104
3. Memory Type: DDR5
4. Bus Width: 128Bit
5. Storage Capacity: 2048MB
6. Bus Standard: PCI-E
7. 3D API: HDMI/DVI
8. Display Ports: HDMI/DVI
9. The Radiator Type: Active Cooling (Fan & Heat Sink)
10. Bus Interface: PCI-E1.1x16
11. Dimensions: (8.86 x 5.00 x 2.01)" / (22.5 x 12.7 x 5.1)cm (L x W x H)
12. Weight: 19.51oz / 553g
13. Color: Gray Black
14. System Supported: Win8-Win7-Winvista-32/64bit-Win10
15. Minimum Support Power Supply: 300W
17. Motherboard PCI Slot: PCI-E
18. Power Source: No
19. Graphics Supported Version of Model: Performance Support for the Latest Drivers
 
Attachments

  • 81-81013254-81013254-4-150721085951.jpg
    81-81013254-81013254-4-150721085951.jpg
    45.9 KB · Views: 71
DirectX 12 imetoka na windows 10 itaongeza sana ufanisi kwenye games hadi 2x kwani developers sasa wanaweza kuwasiliana na gpu kwa urahisi tena zaidi ya moja kutoka kwa kampuni zaidi ya moja tofauti na zamani hadi utumie crossfire au sli, mfano unaweza weka kwenye pc yako nvidia na amd gpu na zote zikafanya kazi. Pia cpu core zaidi ya moja zinaweza kuwasiliana na gpu kwa wakati mmoja tofauti na matoleo ya dx za zamani ambapo cpu core moja tu ndiyo ilikuwa inaweza, hivyo maboresho hayo yataongeza fps za games hadi mara mbili ya sasa. Kwa wale wenye multicore cpu kama mimi nina 8 core cpu ni muda wa kula bata tu
 
lakini hadi game lisuport hio direct x 12. na pia cpu zisizo na core nyingi kama pentium g4400 pia zimepata boost kubwa sio lazima uwe na core nyingi
 
lakini hadi game lisuport hio direct x 12. na pia cpu zisizo na core nyingi kama pentium g4400 pia zimepata boost kubwa sio lazima uwe na core nyingi
Sure! Kuna baadhi ya games zilikuwa hazisupport dx12 wanatoa patch ili yasupport
 
Sio masihara mkuu...battlefield nuksi sana...ukicheza utakutana na yte niliyosema hapo..af kuna handline game yao ya mwaka 2015 nayo kari kichz

Haya makitu yapo mtandaon tu
Kama una bando lako zur mbona ni dk tu
Naombeni mnitajie website nika download hizo game hasaneed for speed
 
Mm lile game kuna level nashindwa kucheza pale anapoambiwa akamuue mtu anae cheza golf amuue please help me gtav
Unashndwaje kumuua mbona simple panda upande wa pili kule karibu na kile kibwawa then watungue kwa risasi ila uwe fasta sana,ukishndwa basi lipua kwa rocket fasta,then baada ya kumuua jiandae kuwatoroka polisi
 
Naomba nicheck kwa no 0716917896 kuhusu hiyo card si umesema una na card nyingine
 
lakini hadi game lisuport hio direct x 12. na pia cpu zisizo na core nyingi kama pentium g4400 pia zimepata boost kubwa sio lazima uwe na core nyingi
Sorry mkuu, namimi natamani kuanza kucheza game kwenye PC, nataka nicheze Fifa 15 ila PC yangu lenovo, Processor Intel (R) celeron (R) CPU 1005M @1.90Ghz na ina ram ya 4gb. Vp kwa specification hizo naweza cheza huo mzigo
 
-Mimi kwangu mpaka sasa kali ni Fifa 14 niliyocheza.
-Ya pili ni Call of Duty 3, hatari saana mkuu akina Yuri, Captain Price, Gaz n.k
-Ya tatu naipenda sana ila bado sijaicheza na naitafuta kwa udi na uvumba, naomba unisaidie kuipata. Inaitwa Call Of Duty 2 Black Ops. Humu ndani kuna wanaume wawili wananikosha sana kwa mission wanazozipiga, ni ALEX MASON na WOODS.
Mkuu hayo magame nayataka ntapataje
 
Ahahahahahahahahahaha Mkuu, Captain Price hajambo? Yuri je? Vipi akina Makarov!?
Naipenda sana ile Mission ya kumlinda President, helkopta ya kuokoa inapokuja tuu, mara makarov huyoooo!!!!
Kiukweli Call of Duty 3 ni tamu saba aiseee!!! Napenda hata siraha zake na mazingira ni ya kisasa zaidi ndo maana ikaitwa modern warfare.
Bila kusahau the end of the game Captain Price anapomuua adui kisha anadondoka mpaka chini harafu anajisogeza pembeni kisha anawasha sigara, hatari sana hawa watu Mkuu!!
Ila Mkuu kuna hii Call of Duty 2 Black Ops, unaionaje?
Mkuu nitakupata wapi ili nipate magame hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom