Poa! Nipo ubungo msewe njoo uchukue ni pmrobbyl please, mimi pia niweke kwenye kundi la wahitaji ... binafsi si lazima ziwe latest sana coz mara ya mwisho nilicheza GTA, niruhusu nikutafute na kama kuna lolote natakiwa kulifahamu mapema zaidi ya hilo la kuwa na external yenye ujazo wa kutosha ..... nijulishe
Natanguliza shukrani zangu