Best PC games

Best PC games

Yap ndo ivo,kwa game ya mission igi tamu sana,cz nihame isiyo na vurugu af akili nyingi sana
 
Niliwahi piga "Age of Empire 3" ni real time strategy game poa sana!
Pia kuna hii yaitwa SIMCITY™ by EA ipo poa ila kiboko yake ipo CITIES:SKYLINE ila hapo PC yangu ikaishindwa kiaina!!
 
FIFA ndo gemu kali, period
Hususani ukicheza Manager Career, mimi nilikuwa nikicheza level ya Professional. Nikiingia World Class au Legendary huwa napigwa vibaya sana.
Kiukweli Fifa wapo juu sana Mkuu, kuanzia
-Jezi, kuna timu zina jezi aina 3 tofauti tofauti na zingine extra, so jumla kunakuwa kama 4-5 hivi. Upande wa jezi mimi napendekeza wawe wanatengeneza kwamba mtu unaweza ukachagua bukta ikawa ya home na ya juu ikawa ya awaya.
-Wachezaji wanaonekana fresh sana, yani mtu akilowa jasho unaliona kabisa jasho, dah fifa hatari aiseee!
-Upande wa viwanja jamaa wamekimbiza kabisa, viwanja vipo poa na vimekaa kiuhalisia kabisa.
-Watangazaji wake ni wazuri sana tofauti na pes, wamefanya jambo la maana kumweka Martin Tyler na Alan Smith.

Kiukweli FIFA kila sehenu imekaa vema yaani kuna mitimu ya kumwaga humo ndani.
Kama una Fifa 16 nitoe Mkuu!
 
Yap ndo ivo,kwa game ya mission igi tamu sana,cz nihame isiyo na vurugu af akili nyingi sana
Yes Mkuu, IGI unahitaji kutuliza kichwa hususani pale uhai hauna. Tofauti na Call Of Duty, wao ukipigwa sana unaweza ukakaa sehemu na uhai ukarudi ukaendelea kupiga mzigo kama kawaida ila IGI kuna kikomo chake so lazima utulize ubongo.
 
Hususani ukicheza Manager Career, mimi nilikuwa nikicheza level ya Professional. Nikiingia World Class au Legendary huwa napigwa vibaya sana.
Kiukweli Fifa wapo juu sana Mkuu, kuanzia
-Jezi, kuna timu zina jezi aina 3 tofauti tofauti na zingine extra, so jumla kunakuwa kama 4-5 hivi. Upande wa jezi mimi napendekeza wawe wanatengeneza kwamba mtu unaweza ukachagua bukta ikawa ya home na ya juu ikawa ya awaya.
-Wachezaji wanaonekana fresh sana, yani mtu akilowa jasho unaliona kabisa jasho, dah fifa hatari aiseee!
-Upande wa viwanja jamaa wamekimbiza kabisa, viwanja vipo poa na vimekaa kiuhalisia kabisa.
-Watangazaji wake ni wazuri sana tofauti na pes, wamefanya jambo la maana kumweka Martin Tyler na Alan Smith.

Kiukweli FIFA kila sehenu imekaa vema yaani kuna mitimu ya kumwaga humo ndani.
Kama una Fifa 16 nitoe Mkuu!
Bila kumsahau drury na andy townsend
 
Niliwahi piga "Age of Empire 3" ni real time strategy game poa sana!
Pia kuna hii yaitwa SIMCITY™ by EA ipo poa ila kiboko yake ipo CITIES:SKYLINE ila hapo PC yangu ikaishindwa kiaina!!
Kweli nahitaji ari mpya ya kucheza Gamez, hapo ulizotaja sijacheza hata moja!!!!
 
Bila kumsahau drury na andy townsend
Kuna mmoja wao hapa ana kisauti flani hivi chembambaaa, huyu jamaa namkubali sana pia mkuu. Upande wa commentatorz FIFA tuwape heshima yao.
 
Igi ni game rahisi sana kucheza,mwanzo nilikua napigwa risasi kama kawa,ukiweza kudestroy tu zile camera umemaliza game,unakua unaua nyatunyatu tu
igi mi nimelicheza kama miaka 10 hv iliopita ni rahisi sana hasa ukipata sehemu upo juu na bunduki yenye darubini au sniper au bastola za silence nk unaweza ukawaua wote bila hata kukujua ulipo
 
mimi games zangu ni za strategy tu napenda sana turn based games, nacheza age of heroes online (aoho), ancient empire, fire emblem, final fantasy, xcom enemy unknown, etc pia nacheza kidogo mpira tena PES tu, Fifa silipendi halina super Heroes
 
  • GTA V
  • Need For Speed Hot Pursuit
  • Need For Speed Rival
  • Fallout 4
  • WWE 2K15
  • NBA 2K15
  • Mortal Kombat X
  • PES 2015
Nazo subiri kwa hamu😀😀
  • Need For speed 2015
  • The Crew
  • Project Cars
  • Tekken 7
 
  • GTA V
  • Need For Speed Hot Pursuit
  • Need For Speed Rival
  • Fallout 4
  • WWE 2K15
  • NBA 2K15
  • Mortal Kombat X
  • PES 2015
Nazo subiri kwa hamu😀😀
  • Need For speed 2015
  • The Crew
  • Project Cars
  • Tekken 7
Mkuu haya unayapata wapi if unadownload plz tusaidie link??
 
igi mi nimelicheza kama miaka 10 hv iliopita ni rahisi sana hasa ukipata sehemu upo juu na bunduki yenye darubini au sniper au bastola za silence nk unaweza ukawaua wote bila hata kukujua ulipo
Yeah kweli mkuu
 
Back
Top Bottom