Best PC games

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
Kwangu mimi ni kama hivi
1. Call Of Duty 3 na 4 pamoja na COD special force.
2. Assasin Creed 2 na 3
3. Need for speed most wanted.
4. Ghost recon
Haya magame utayafaidi ukiwa na processor ya maana. Tupia yako pia.
Thanks to skidrow kwa kuniwezesha kucheza kila game.
 
-Mimi kwangu mpaka sasa kali ni Fifa 14 niliyocheza.
-Ya pili ni Call of Duty 3, hatari saana mkuu akina Yuri, Captain Price, Gaz n.k
-Ya tatu naipenda sana ila bado sijaicheza na naitafuta kwa udi na uvumba, naomba unisaidie kuipata. Inaitwa Call Of Duty 2 Black Ops. Humu ndani kuna wanaume wawili wananikosha sana kwa mission wanazozipiga, ni ALEX MASON na WOODS.
 
Call of duty 4 modern warfare 1,2 & 3 zipo fresh sana na far cry 3,
Kuna battlefield 2 bad company,
Ila kwa sasa specification za games zinazotoka ni kubwa kuliko uwezo wa pc yangu, naomba msaada kama naweza kupata desktop pc yenye specification za maana kwa nowdays games,
Ram yangu tu ni 4 gb, ambayo kwa sasa ndo minimum requirement kwa games nyingi pia ni ina intel graphics + processor ya 2.13 ghz
 
Nina kama miaka 7 hivi sijacheza game yoyote kabisa, though nina ahadi ya kurudi tena kutokana na raha niliyokuwa naipata. Kwa kipindi kile PC game hivi nilizikubali sana;

1. Hidden Dangerous
2. Project IGI 2
3. GTA - Vice City
4. Colin McRae Rally
5. Moto Combart
6. Moto GP

Nitarudi tena kwa nguvu sana muda si mrefu ....
 
Kama wewe ni mpenzi wa Game za vita anza na hawa Activision wana series za Game inaitwa Call Of Duty!!
Hatariiiiiiii!!!!
 
Call of duty 4 modern warfare 1,2 & 3 zipo fresh sana na far cry 3,
Kuna battlefield 2 bad company,
Ila kwa sasa specification za games zinazotoka ni kubwa kuliko uwezo wa pc yangu, naomba msaada kama naweza kupata desktop pc yenye specification za maana kwa nowdays games,
Ram yangu tu ni 4 gb, ambayo kwa sasa ndo minimum requirement kwa games nyingi pia ni ina intel graphics + processor ya 2.13 ghz
Captain Price, Gaz n.k hawa watu noma. Mkuu una Call of Duty 2 black ops!?
 
Kwangu mimi ni kama hivi
1. Call Of Duty 3 na 4 pamoja na COD special force.
2. Assasin Creed 2 na 3
3. Need for speed most wanted.
4. Ghost recon
Haya magame utayafaidi ukiwa na processor ya maana. Tupia yako pia.
Thanks to skidrow kwa kuniwezesha kucheza kila game.
Mkuu tulio vijijini tutapataje utamu huo? pliz kama unaweza weka link ya kudown load
 
Mkuu za kwangu ni kama zifuatazo:-
1.Hitman Absolution
2.Call of duty:GHOST
3.Grand theft auto(GTA)-V
4.Need for speed:Rival
5.Asphalt 8:airborne

Hizo gamez kk ni shedah yan zimetulia graphics na ni rahisi kuzimudu ndani ya muda mchache..
 
Unayo Call of Duty 2 Black Ops?
 
I.G.I 3!!!??? Hatari sana nyie watu, mimi hiyo IGI nilipiga 1 tuu na nikaimaliza. Nikaipata 2 nikawa siielewi elewi, nikaachana nao. Ila I.G.I ni bonge la Game, siku ya kwanza kuanza kucheza wakati Jones akipigwa risasi nikawa nahisi kama mimi ndo napigwa tena nikawa nna kauoga flani hivi.
 
Igi ni game rahisi sana kucheza,mwanzo nilikua napigwa risasi kama kawa,ukiweza kudestroy tu zile camera umemaliza game,unakua unaua nyatunyatu tu
 
Mimi ile 2 nimecheza mission moja hivi unatupwa na ndege sehemu flani hivi harafu kuna barafu tupu.
Baadae unamaliza mission baada ya kuzungusha kitu flani hivi kama lichuma likubwa ambalo linafanana na mnara.
 
Iyo waga nacheza kwa dk 5 tu,
 
Yap alafu ndege inakuijia sio??
Something like that japo sina uhakika saana maana nimesahau lakini nakumbuka ile sehemu uliyoshushwa na ndege kwa mbele kidoogo kuna maadui, ukiwaua unaenda mbele tena kuna kama kamlima na huko kuna majengo ya maadui na mission inakuwa completed huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom