Qudabash22
Member
- Feb 9, 2017
- 13
- 5
Wadau...pc yangu pes 2016 inakwama kwama.....specs zake..
Ram 4gb
500gb
Processor 1.0ghz...tatizo nn wakuu
Ram 4gb
500gb
Processor 1.0ghz...tatizo nn wakuu

processor gani hio? nenda my computer right click then properties kupata jina la hio processorWadau...pc yangu pes 2016 inakwama kwama.....specs zake..
Ram 4gb
500gb
Processor 1.0ghz...tatizo nn wakuu
Inaitwa AMD E1 -2100 WITH RADEON (TM) HD GRAPHICS 1.00 GHZprocessor gani hio? nenda my computer right click then properties kupata jina la hio processor
Hii itasumbua kwny game nyingi sn za kisasaInaitwa AMD E1 -2100 WITH RADEON (TM) HD GRAPHICS 1.00 GHZ
Du solution yake..!!Hii itasumbua kwny game nyingi sn za kisasa
hapa mkuu sahau games mpya.Inaitwa AMD E1 -2100 WITH RADEON (TM) HD GRAPHICS 1.00 GHZ
Poa poa..ngoja nifanye hvyohapa mkuu sahau games mpya.
kama una uelewa kidogo download pes 6 then download shollym patch utacheza game kiulaini na usajili na sura mpya.
au download pes 13 na pesedit ya 2017
hiyo igi 1 me mbona huwaga inanishinda sana hasa pale uwanja wa ndege.Nani hajapitia games katika pc yake
1.Nuclear Bike
2.Zuma Deluxe
3.GTA San Andreaas
4.Project IGI 1
5.Mortal Kombat 4
IGI limewashinda w2 wengi sana sijui kwaninihiyo igi 1 me mbona huwaga inanishinda sana hasa pale uwanja wa ndege.
tatizo blood pale inaisha haraka alafu kuipata ni shidaIGI limewashinda w2 wengi sana sijui kwanini
Hahahaha rahisi sanahiyo igi 1 me mbona huwaga inanishinda sana hasa pale uwanja wa ndege.
wapi hapo...mimi nimelimalizahiyo igi 1 me mbona huwaga inanishinda sana hasa pale uwanja wa ndege.