Nifanyie mchakato wa kupata hizo Game mkuu!Du sijui nianzie wapi maana game nilizocheza ni zaidi ya 100
Call of duty series yote iko poa kuanzia call of duty 4 hadi black ops 3
Crysis 2 na 3
Farcry 2 hadi 4
Singularity
Duu nilitaka kusahau battlefield kuamzia bad company hadi 4
The vanishing of Ethan Carter
Metro 2033 na last light
Siwezi maliza kutaja
Karibu!Du kumbe mnafaidi hv ngoja na mm nikajaribu kwenye pc ingawaje sijui pa kuanzia kisha ntaleta mrejesho
Wewe tu mi nipo Dar Ubungo jipange na external uje uchukue, iwe na free space kubwa maana kuna baadhi ya games zina 50GBNifanyie mchakato wa kupata hizo Game mkuu!
Ahahahahahahaha Game gani hiyo Mkuu?Wewe tu mi nipo Dar Ubungo jipange na external uje uchukue, iwe na free space kubwa maana kuna baadhi ya games zina 50GB
Call of duty Black ops III 52.7GBAhahahahahahaha Game gani hiyo Mkuu?
Duuuuuuuh, hii kweli hatari Mkuu. Ngoja ninunue PC mwezi, niangalie vigezo gani ktk PC ili icheze hizi Games?Call of duty Black ops III 52.7GB
Farcry 4 28GB
na mengine
Processor na graphics card ndinyo muhimu, mi natumia amd fx8350 8 cores @4.2GHZ na graphics card Nvidia GeForce gtx 760Duuuuuuuh, hii kweli hatari Mkuu. Ngoja ninunue PC mwezi, niangalie vigezo gani ktk PC ili icheze hizi Games?
Ni laptop ama?Processor na graphics card ndinyo muhimu, mi natumia amd fx8350 8 cores @4.2GHZ na graphics card Nvidia GeForce gtx 760
Daah hapo battlefield 4 namkumbuka mwana anaitwa Irish hatar sana huyu mwambaNifanyie mchakato wa kupata hizo Game mkuu!
Hiyo Game sijacheza, ni nzuri kuliko Call of Duty 2!?Daah hapo battlefield 4 namkumbuka mwana anaitwa Irish hatar sana huyu mwamba
Call of duty 2 cjacheza..ila uzur wa battlefield ni unaendesha hadi tanks, ndege, magari ,weapon za kutosha..hadi marine boat sana tuHiyo Game sijacheza, ni nzuri kuliko Call of Duty 2!?
Ina ukubwa gani?Call of duty 2 cjacheza..ila uzur wa battlefield ni unaendesha hadi tanks, ndege, magari ,weapon za kutosha..hadi marine boat sana tu
Kama 28 gb hivi ila ukipata repack nahisi inaweza kuwa kama 18gbIna ukubwa gani?
Duuuuuuuuuh, hizi Game si mchezo.Kama 28 gb hivi ila ukipata repack nahisi inaweza kuwa kama 18gb
Hatar sana..mission za kibabe humo ndani...Duuuuuuuuuh, hizi Game si mchezo.
Unamshauri PES badala ya FIFA?cheza pro soccer evolution 2016 na far cry
Ni desktopNi laptop ama?